AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

Yani Mo Dewji kumtowa demu wake Barbara kwenye magodown yake kumleta Simba hizo ndio akili?

Hebu mwambieni Mwamedi atuandalie pambano la Dejan na Okra usiku wa vitasa tumalize ubishi.
 
usihamishe magoli wa kujichekesha , issue ya mzungu anzishia mada yake jikite kwenye mada bro
Yaani jamaa kama ni mafia sie Yanga ndio atatufaa... hapa duniani mambo yanafanyika gizani yanakuja kusafishwa kwenye mwanga. Hata wewe mimba yako ilitungwa sirini, watu walikua wawili tu... lakini leo unaonekana hadharani na kila mtu.
Nenda kwenye siasa, biashara nk.. kote huko ukiwa lege lege na uliyenyooka sana utaishia patupu.
 
Siasa za mpira tu mkuu. Hapa Africa ukisha sikia tu kesi ya utakatishaji fedha na madawa ya kulevya weka alama ya kiulizo.
hiyo ya 2007 huko ndola, dawa za kulevya zilikuwa zinapitishiwa posta..2014 ndo alifungiwa na FAZ
 
siyo kama ni mafia, ni mafioso kabisa, drugs case, immigration..agh
 
aisee , Riggy G pia alishawahi kupitisha raia wa kenya mpakani bila passport kwanjia za panya? Riggy G alishawahi kukamatwa na KITENGO CHA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA?
Ishu ni kukamatwa au kukutwa na hatia? Shule gani mnaenda? ni wapi mahakama ilimkuta na hatia?
 
imepenya hiyo,na mkome kusema alikuwa CEO mazembe, hawana cheo hicho kule mziki wote unasimamiwa na moise katumbi, halafu jamaa kesi yake ujue ilihusisha madawa ya kulevya kupitishiwa shirika la posta, MONEY LAUNDERING
Hapa ndo umeonesha kiwango chote cha ujinga wako. Ningekuunga mkono Kwa mengine lakini kusema TPM haina cheo cha CEO katafute uongo mwingine. Mimi si Yanga lakini nawachukia Waongo.
 
Hapa ndo umeonesha kiwango chote cha ujinga wako. Ningekuunga mkono Kwa mengine lakini kusema TPM haina cheo cha CEO katafute uongo mwingine. Mimi si Yanga lakini nawachukia Waongo.
taja CEO wa tp mazembe wa sasa au yoyote huko nyuma liyewahi kuwa na hiko cheo..kwani unadhani cheo cha CEO kiko kila team duniani?
 
Atakutana na Msomali Karia roho mbaya.
 
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23]
 
Kumbe unalijua hilo angalia asije akakunaniliuu....(akaku-push samadi) jombaa mana si kwa shobo hizo
kila topolo lazima tusi lake liwe kuzibua mitaro..kuna mambo ya ajabu sana huko maana kuna waraabu wanazibua watu mitaro kwelikweli na kuwapa "life zuri"
Kuna MZEE TOZI anazibua mtu toka miaka ya 90's ana ki shoga chake hapo, kuna wengine wanasafirishwa kila mahala duniani hadi mastadium makubwa
kuna wengine watangazaji wanasafirishwa duniani kwenye ma stadiums makubwa kwa pesa za MA JAMAA ya huko
ukija jamii forums wote matusi yao ni suala la kufumua mitaro, acheni U KABWILI NYIE MANYANI ya Luc eymael
 
Umerudi kwenye page ya Shoga yako Shafi Dada kusoma alichoposti baada ya hiyo taarifa kuchukua kwake?


 
 
Umerudi kwenye page ya Shoga yako Shafi Dada kusoma alichoposti baada ya hiyo taarifa kuchukua kwake?

View attachment 2369872
View attachment 2369873
HIZO BARUA ZIMETOKANA NA NINI? AUI ZILISHUKA MBINGUNI? HIZO BARUA ZINAKANUSHA KWAMBA HII THREAD IMEANDIKA UONGO?HAKUWAHI KUKAMATWA NA KITENGO CHA MADAWA YA KULEVYA? HAKUWAHI KUFUNGIWA MAISHA NA FAZ? ONYESHA NI WAPI KAFANYA KAZI YA KIMPIRA ZAMBIA FROM 2014-2017 ,PUMBAVU WAHED KABWILI STYLE

halafu kwa taarifa yako hizi habari zimeanzia kwangu siku ya leo hapa JAMII FORUMS kubwa jinga weeee zunguka kote social media walipo post uje ulinganishe na saa sita na dk 2 mchana uone nani alianza ku post

Wewe unayemuona Dauda ni Mungu....hayo ma document inabidi huyo CEO atembee nayo na ndiyo wakamtumia Dauda aya post siyo?

Ungekuwa na akili ungejiuliza hayoma document chanzo chake ni nini? kina tofauti gani na uzi huu, lakini kwa nini nahangaika kujieleza kwa litopolo?
 
Tunaendelea kuwafuatilia wagonjwa wetu wa Milembe tuliwaruhusu warudi majumbani wewe ukiwa mmojawapo, tafadhali tuambie wapi ulipo ili tukurudishe wodini uendelee na matibabu!
 
Kwani wewe dada shida yako ni nini amekutelekezea mtoto?
 
Kwani wewe dada shida yako ni nini amekutelekezea mtoto?
tusi jipya lako ndo hilo la kuzibuana mitaro umelichoka? we hujaona nimemjibu kabwili mwenzako? si kauliza swali asijibiwe...kama huu uzi hamuupendi nyamazeni kimya , mkiandika na mimi naandika hadi kiama cha dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…