Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Foleni ya ubungo kwa kuendea kimara imehamia korogwe pale,kuanzia korogwe hadi kimara mwisho ile barabara inabidi itanuliwe na pale korogwe kijengwe kivuko cha waenda kwa miguu la daraja la kupitia juu kama buguruniAchana na maswala ya kukariri me nachofahamu hizi ni nchi mbili tofauti inawezekana Ghana walitoa msamaha mkubwa wa kodi. Hata upatikanaji wa raw material hatuwezi fanana.
Nachojua Ubungo hakuna folleni tena. Hongera kwa wote waliofanikisha mradi huu mkubwa ulio tatua changamoto kubwa
Mungu awabariki
Mkopo uliochukuliwa WB kwa ajili ya mradi huu ni usd 100m. Pengine nyingine zilipelekwa chato na yule fisadi.Kwaio Billion 177 ni sawa na usd 100m...hi exchange rate ya wapi mmetumia?
Hoja gani, unatetea upuuzi stupidUkiona mtu anatukana badala ya kutoa hoja za maana ujue uwezo wake wa kujenga hoja za kitaalam ni mdogo au unamashaka. Navyo fahamu JF haihitaji watu wa aina hii. Hapa wanahitajika watu wenye kuweka hoja zenye ushawishi mezani
Washenzi Sana hao Mafisadi ya Sukuma gang.Mkopo uliochukuliwa WB kwa ajili ya mradi huu ni usd 100m. Pengine nyingine zilipelekwa chato na yule fisadi.
Umewekewa dola unataka madafuVP thamani Yetu ya fedha inalingana na wao kwa maana ya uendeshaji project?
Hata ubungo sio mjini mji upo postaMbona kama hy flyover ya Ghana imejengwa kijijini mana hata hakuna magari yanayotosha hizo barabara sasa huo si upigaji kuzidi hiyo ya Ubungo.!
Kati ya hapo kwenye hilo daraja Ghana na Ubungo ni wapi panaonekana mjini.?Hata ubungo sio mjini mji upo posta
Naona hoja zako, hongera upo vizuri kwenye fani ya matusiHoja gani, unatetea upuuzi stupid
Usikariri,Kati ya hapo kwenye hilo daraja Ghana na Ubungo ni wapi panaonekana mjini.?
Toa upumbavu wako hapa,miradi imethaminishwa kwa dola..Ndio maana Lowassa alisisitiza elimu elimu.
View attachment 2310344
Kama sh.1 ya ghana kwetu ni sawa na 297 kwanini mshangae kuhusu hio hela waliotumia kuwa chini?
Sikiliza ww kichwa maji, Kwahy thamani ya dola kwa Ghana ni sawa na kwa Tz.?Toa upumbavu wako hapa,miradi imethaminishwa kwa dola..
Washenzi nyie mumeiba hela na kujenga upuuzi
Tena wadudu wale wa kondoo mpaka wapigane vichwa ndo wakae kwa kutuliaBavicha mna wadudu kichwani
Tatizo ni huna akili mzee.Hii hapa Pakuase flyover.
View attachment 2306161
Na hili hapa daraja la Kijazi
View attachment 2306162
Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
Tawaza mavi yaliojaa kichwani humoToa upumbavu wako hapa,miradi imethaminishwa kwa dola..
Washenzi nyie mumeiba hela na kujenga upuuzi
Sikujua kama huwa una uelewa finyu sana wa uchumi kiasi hiki.Tatizo ni huna akili mzee.
Soma vizuri uchumi ndio utaelewa hasa kwanini kwetu hela ni nyingi inatumika kufanya jambo dogo ilihali kwa wenzetu hela kidogo inafanya makubwa.
Dola 1 hapa bongo ni sawa na cedi 8 za kighana.
Kwetu dolla 1 ni almost sh. 233O
Fatilia gdp maana ndio kitu mmezoeaSikujua kama huwa una uelewa finyu sana wa uchumi kiasi hiki.