Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

Achana na maswala ya kukariri me nachofahamu hizi ni nchi mbili tofauti inawezekana Ghana walitoa msamaha mkubwa wa kodi. Hata upatikanaji wa raw material hatuwezi fanana.

Nachojua Ubungo hakuna folleni tena. Hongera kwa wote waliofanikisha mradi huu mkubwa ulio tatua changamoto kubwa

Mungu awabariki
Foleni ya ubungo kwa kuendea kimara imehamia korogwe pale,kuanzia korogwe hadi kimara mwisho ile barabara inabidi itanuliwe na pale korogwe kijengwe kivuko cha waenda kwa miguu la daraja la kupitia juu kama buguruni
 
Kwaio Billion 177 ni sawa na usd 100m...hi exchange rate ya wapi mmetumia?
 
Ukiona mtu anatukana badala ya kutoa hoja za maana ujue uwezo wake wa kujenga hoja za kitaalam ni mdogo au unamashaka. Navyo fahamu JF haihitaji watu wa aina hii. Hapa wanahitajika watu wenye kuweka hoja zenye ushawishi mezani
Hoja gani, unatetea upuuzi stupid
 
Ili kupata ukweli inabidi utasaidie kujua, Ghana walijenga hiyo flyover yao mwaka gani?

Vv
 
Ndio maana Lowassa alisisitiza elimu elimu.
Screenshot_2022-07-31-21-05-35.jpg

Kama sh.1 ya ghana kwetu ni sawa na 297 kwanini mshangae kuhusu hio hela waliotumia kuwa chini?
 
Je, zilijengwa kwa wakati mmoja? Na mkandarasi aliyejenga huko ndio huyo huyo aliyejenga hapa?
 
Hii hapa Pakuase flyover.

View attachment 2306161

Na hili hapa daraja la Kijazi

View attachment 2306162

Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
Tatizo ni huna akili mzee.
Soma vizuri uchumi ndio utaelewa hasa kwanini kwetu hela ni nyingi inatumika kufanya jambo dogo ilihali kwa wenzetu hela kidogo inafanya makubwa.

Dola 1 hapa bongo ni sawa na cedi 8 za kighana.
Kwetu dolla 1 ni almost sh. 233O
Toa upumbavu wako hapa,miradi imethaminishwa kwa dola..

Washenzi nyie mumeiba hela na kujenga upuuzi
Tawaza mavi yaliojaa kichwani humo
 
Tatizo ni huna akili mzee.
Soma vizuri uchumi ndio utaelewa hasa kwanini kwetu hela ni nyingi inatumika kufanya jambo dogo ilihali kwa wenzetu hela kidogo inafanya makubwa.

Dola 1 hapa bongo ni sawa na cedi 8 za kighana.
Kwetu dolla 1 ni almost sh. 233O
Sikujua kama huwa una uelewa finyu sana wa uchumi kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom