Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Foleni ya ubungo kwa kuendea kimara imehamia korogwe pale,kuanzia korogwe hadi kimara mwisho ile barabara inabidi itanuliwe na pale korogwe kijengwe kivuko cha waenda kwa miguu la daraja la kupitia juu kama buguruniAchana na maswala ya kukariri me nachofahamu hizi ni nchi mbili tofauti inawezekana Ghana walitoa msamaha mkubwa wa kodi. Hata upatikanaji wa raw material hatuwezi fanana.
Nachojua Ubungo hakuna folleni tena. Hongera kwa wote waliofanikisha mradi huu mkubwa ulio tatua changamoto kubwa
Mungu awabariki