Aibu hii ya waandishi wetu tumlaumu nani?

Nani alaumiwe kwa hili? Ndiyo maana marehemu Mkapa aliwatukana waandishi wa Tz
 
Mbali na english tu kuwa mbovu ila mwandiahi tayar kaonyesha ni mnazi wa Uyanga
huyu ni mnazi wa simba probably. Alimtaka kocha amthibiti sana Pacome siku ya mechi asiwadhulu.
 
Uandishi wa habari kwa hapa Tanzania sio lazima uwe na shule ya kutosha.

Yeyote anaweza fanya.
Waandishi wa habari wa Tz wengi ni janjajanja tu lakini hakuna kitu, hawana weledi kabisa, NI KAMA WALIVYO WANASHERIA WETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…