Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Tangu lini Israel ikawa eneo la wapalestina, nchi yenyewe inaitwa Israel halafu imilikiwe na wapalestina......ni sawasawa na kusema Tanganyika isimilikiwe na watanganyika bali imilikiwe na wakenya......don't you see the logic?
Israel ilijengwa kwenye Nchi iliyoitwa Palestine.... hivi huko mashuleni hamkusoma historia.

Hakuna nchi ilikua inaitwa Israel kabla ya 1948!! Ila hilo eneo lilitwa PALESTINA. sasa kivipi palestines wakifukuza wavamizi iitwe ni uchokozi au ugaidi?
 
Wewe ulitaka wakute nini kule hospital ndio uamini Hamas walikuwepo pale

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Headquarter inayocomand watu zaidi Ya 40,000 wanaopigana vita ina mitambo ya kutosha, Hamas hawatumii Wireless wanatumia wired technologies ili wasidukuliwe, huwezi hamisha hivyo vitu kirahisi kwamba eti IDF wanakuja mkimbie msibakishe ushahidi, tena Mjini kwenye Hospitali kubwa.
 
Kwani October 7 Hamas walipoivamia Israel waliua watoto wangapi wa Israel?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe ndo ulituma magaidi ya Hamas kwenda kuua na kuteka waisrael, basi tulia hivyo hivyo sindano iingie.
Hamas walifanya ugaidi na Israel nao wanafanya ugaidi mara kumi yake. Hii haikubaliki. Ukiwa upo mbali kama Tanzania na huna empathy ni rahisi sana kuandika ulivyoandika.
 
Tena IDF wakiwa wamezingira Gaza ardhini, angani na baharini.

Bowen: Ceasefire demands will grow without proof of Hamas HQ at Al-Shifa
Kuna hii habari kutoka BBC. Nao wameandika unachowaza sasa. Wanasema inatakiwa Israel ithibitishe kuhusu hospital kutumiwa na Hamas kama ngome la sivyo dunia haitawailewa.
 
Mada umeielewa lakini ndugu? Au labda unasema wale watoto njiti wanaouliwa na IDF hospitalini waliuwa watoto wangapi wa Israel?

Afrika Kusini wana ukomavu wa kifikra sana kuhitaji Natenyahu, Israel na magaidi wote kuwajibishwa kwa ugaidi wao.
 
Mfalme wa Palestine mwaka 1948 kushuka 1920 aliitwa nani? Au nani mwanzilishi wa taifa la Palestine au Kingdom ya Palestine?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Afrika Kusini wana ukomavu wa kifikra sana kuhitaji Natenyahu, Israel na magaidi wote kuwajibishwa kwa ugaidi wao.
Africa kusini hawana ukomavu wowote wamechochewa na urusi kama ni wapenda haki kwanini walishindwa kumkamata Omar Al Bashir alipoitembelea Africa kusini na aliua waislamu wengi huko Sudan

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ninakazia:

"Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi."
Falsafa ya kipumbavu unaiunga mkono? Walirushaje maroketi?. Alitaka wakute vifaru pale kwenye andaki au?. Ramaphoza Mpuuzi tu fulani.mbona akukemea kuuwawa kwa waisraeli. Apeleke askali na vifaa vya kivita Kama alivyopeleka Russia. Anashindwa nini kupeleka Gaza?
 
Jibu swali kwa usahihi na usitenge na ukweli nakuuliza wale watoto waisrael waliochomwa moto na Hamas na wengine kutekwa je sio uhalifu wa kivita au ni sheria ipi imewaruhusu Hamas?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Achana na mpuuzi huyo walipokufa waisrael yalipiga makofi Kama mazombi wenye akili walijua kinachofata Ni nini. Ukiua mwisrael mmoja wanaua kumi wameua 1200 waisrael washaua zaidi ya 12000 mpaka Sasa. Na ardhi inachukuliwa ile
 
Ramaposa kama mpenda haki angempinga Putin kitendo cha kuivamia Ukraine na kuua waukraine wasio na hatia ila alipeleka hadi silaha huu ni unafiki na upuuzi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app

Kumpinga Putin ni sawa kama ilivyo kumpinga Natenyahu. Hata hivyo Heri ya nusu shari. Kwani zile mbuzi mbuzi zisimpinga Putin au Natenyahu zinasema je?

Moja hii hapa MK254.
 
Achana na mpuuzi huyo walipokufa waisrael yalipiga makofi Kama mazombi wenye akili walijua kinachofata Ni nini. Ukiua mwisrael mmoja wanaua kumi wameua 1200 waisrael washaua zaidi ya 12000 mpaka Sasa. Na ardhi inachukuliwa ile

Zombie ni wewe nesi wa mchongo uliyeveshwa dera jeupe usiyejulijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…