- Thread starter
- #61
Unataka ushahidi gani, siraha na vifaa vya kijeshi kupatikana ndani ya hospitali ikiwamo nembo za Hamas kwako ni nini?
Shimo lipo na limeonyeshwa, maiti za mateka zimepatikana kwenye majengo yanayozunguka hospitali 1. Wao ni wajinga ukitaka wakamatwe hapo, walipoona hawawezi kuzuia Idf kuingia hapo walikimbia.
HRW hajauona ushahidi huo.
HRW refutes Israel's claims, finding no proof of Hamas using Al-Shifa Hospital for military purposes
Dunia haijauona ushahidi huo. Ila wewe kapuku jazz band?