4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
wapi linaitwa Ziwa Malawi huku au kule Malawi ? je kuna sheria za kuzuia watu wasiite sehem majina wayatayo?Hata ziwa Nyasa linaiwa ziwa Malawi hivyo lite ni Malawi. Upoyoyo kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi linaitwa Ziwa Malawi huku au kule Malawi ? je kuna sheria za kuzuia watu wasiite sehem majina wayatayo?Hata ziwa Nyasa linaiwa ziwa Malawi hivyo lite ni Malawi. Upoyoyo kazi.
Tumwamini nani sasaNi aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi:
1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita.
==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana.
2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao hufunzwa upendo ila wa kipalestina hufunzwa ugaidi.
===> Yote hiyo ili kuhalalisha kuuwa hadi njiti.
3. Kwamba kamba ya kuokota karibu na hospitali imekuwa ilifungwa mateka.
===> Hivyo hospitali ni command center ya HAMAS.
4. Bunduki mbili tatu za kubambikiza ki PT zimekuwa za kuhalalisha command center hospitalini.
5. Nk.
Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi.
Big up sana Cyril Ramaphosa na Afrika kusini kwa kuwiva ki falsafa kwa hakika mnatutoa kimasomaso kwa kuliita koleo kwa jina lake.
Habari zaidi:
Gaza, mtoto mmoja anauawa kila baada ya dakika 10. Tangu Oktoba 7, 2023 Israel imeua zaidi ya watoto 4,000. Sasa, watoto wachanga katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza wanakufa kwa sababu taasisi hiyo haina umeme baada ya zaidi ya mwezi mmoja.
Israel inajua inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa kimataifa kwa mauaji yake ya watoto. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, ambao hadi sasa wamekuwa waaminifu katika kusaidia Israel, wameomba serikali ya Israeli kusitisha mauaji ya watoto.
Kama matokeo, propaganda na uongo ya Israel inatafuta njia mpya za kuhalalisha kuua watoto na kubomoa vituo vya matibabu.
Mnamo Novemba 11, akaunti rasmi ya Kiarabu inayosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilichapisha video ya muuguzi, anayeonekana kuwa na wasiwasi, akizungumzia jinsi Hamas inavyoshambulia Hospitali ya al-Shifa na kuchukua mafuta yote na morfiini. Video hiyo, ambayo ilichezwa mara elfu, haikuwa video halisi.
Hakuna wafanyakazi katika eneo hilo wanaonekana kumtambua mtu aliyeonekana, wakitia shaka utambulisho wake na jukumu lake. Robert Mackey, mwandishi wa shirika la utafiti la Forensic Architecture, alizungumza na wafanyakazi watatu wa Madaktari Wasio na Mipaka wanaofanya kazi katika Hospitali ya al-Shifa, ambao hakuna hata mmoja wao aliyemtambua.
Muuguzi aliongea kwa lugha isiyo ya Kipalestina, na mazungumzo yake yalionekana kuakisi kikamilifu hoja za kijeshi za Israel juu ya Hamas kuiba mafuta yote kutoka hospitalini. Zaidi ya hayo, mahali mkakati wa kuweka nembo ya Wizara ya Afya ya Kipalestina ulikuwa jaribio lililopangwa la kudanganya.
Idd amefanya sawa na Israel walichofanya. Wanakalia ardhi ya wapalestina kilazima sasa Hamas wanaipambania mnawaona magaidi ila JWTZ walipofanya mliwaona mashujaa.kwamba Idd na Idf wanafanana ? Idd alifanya sw na Hamas walivyofanya na Idd alikuwa na sababu za kipuuz kama Hamas ila mwisho wa siku waliadhibiwa kwa kuchagua njia mbovu kwenye kufikia malengo yao
Tumwamini nani sasa
Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa
Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea. IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding Military reveals tunnel entrance, weapons...www.jamiiforums.com
Huyo psychophant uchwara wa kidini (MK254) mwenye huo uzi kaangaziwa vyema huku ndugu:
Vita ya Hamas na Israel inaonyesha watu walivyo na Imani haba kwa Mungu
Hao watoto unakubali umejiridhisha siyo mchongo? Eleza jinsi walivyotegeza.Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi:
1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita.
==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana.
2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao hufunzwa upendo ila wa kipalestina hufunzwa ugaidi.
===> Yote hiyo ili kuhalalisha kuuwa hadi njiti.
3. Kwamba kamba ya kuokota karibu na hospitali imekuwa ilifungwa mateka.
===> Hivyo hospitali ni command center ya HAMAS.
4. Bunduki mbili tatu za kubambikiza ki PT zimekuwa za kuhalalisha command center hospitalini.
5. Nk.
Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi.
Big up sana Cyril Ramaphosa na Afrika kusini kwa kuwiva ki falsafa kwa hakika mnatutoa kimasomaso kwa kuliita koleo kwa jina lake.
Habari zaidi:
Gaza, mtoto mmoja anauawa kila baada ya dakika 10. Tangu Oktoba 7, 2023 Israel imeua zaidi ya watoto 4,000. Sasa, watoto wachanga katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza wanakufa kwa sababu taasisi hiyo haina umeme baada ya zaidi ya mwezi mmoja.
Israel inajua inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa kimataifa kwa mauaji yake ya watoto. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, ambao hadi sasa wamekuwa waaminifu katika kusaidia Israel, wameomba serikali ya Israeli kusitisha mauaji ya watoto.
Kama matokeo, propaganda na uongo ya Israel inatafuta njia mpya za kuhalalisha kuua watoto na kubomoa vituo vya matibabu.
Mnamo Novemba 11, akaunti rasmi ya Kiarabu inayosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilichapisha video ya muuguzi, anayeonekana kuwa na wasiwasi, akizungumzia jinsi Hamas inavyoshambulia Hospitali ya al-Shifa na kuchukua mafuta yote na morfiini. Video hiyo, ambayo ilichezwa mara elfu, haikuwa video halisi.
Hakuna wafanyakazi katika eneo hilo wanaonekana kumtambua mtu aliyeonekana, wakitia shaka utambulisho wake na jukumu lake. Robert Mackey, mwandishi wa shirika la utafiti la Forensic Architecture, alizungumza na wafanyakazi watatu wa Madaktari Wasio na Mipaka wanaofanya kazi katika Hospitali ya al-Shifa, ambao hakuna hata mmoja wao aliyemtambua.
Muuguzi aliongea kwa lugha isiyo ya Kipalestina, na mazungumzo yake yalionekana kuakisi kikamilifu hoja za kijeshi za Israel juu ya Hamas kuiba mafuta yote kutoka hospitalini. Zaidi ya hayo, mahali mkakati wa kuweka nembo ya Wizara ya Afya ya Kipalestina ulikuwa jaribio lililopangwa la kudanganya.
Hao watoto unakubali umejiridhisha siyo mchongo? Eleza jinsi walivyotegeza.
Hilo shimo hapo hospitali nalo wamechimba wao?. Subirini ni swala la.wakati tu itajulikana kila kitu kilichofichika.
Usiangalie aljazira,tazama na vyanzo vingine vya habari utajua unachokisema.
Sheria ya ulinzi wa hospitali na maeneo mengine ya kijamii, imesema ni makosa kushambulia maeneo hayo, isipokuwa kama adui anatoa maeneo hayo kufanya mashambilizi au maficho yake.
Amekiri hivyo lakini makosa ni ya Hamas kwanini wanajificha shuleni,misikitini, hospitaliniPunguza mahaba kuvamia wagonjwa ni uhayawani. Natenyahu amekiri wasio hatia wengi kuuliwa isipokuwa wewe ndugu?
Amekiri hivyo lakini makosa ni ya Hamas kwanini wanajificha shuleni,misikitini, hospitalini
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Sawa hamas waendelee kurusha maroketi kwa waloweziUnatambua Israel waliovamiwa ni walowezi yaani wezi au vibaka kwa lugha rasmi?
Mitahira humu ni mingi sana , toa wakwako.Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi:
1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita.
==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana.
2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao hufunzwa upendo ila wa kipalestina hufunzwa ugaidi.
===> Yote hiyo ili kuhalalisha kuuwa hadi njiti.
3. Kwamba kamba ya kuokota karibu na hospitali imekuwa ilifungwa mateka.
===> Hivyo hospitali ni command center ya HAMAS.
4. Bunduki mbili tatu za kubambikiza ki PT zimekuwa za kuhalalisha command center hospitalini.
5. Nk.
Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi.
Big up sana Cyril Ramaphosa na Afrika kusini kwa kuwiva ki falsafa kwa hakika mnatutoa kimasomaso kwa kuliita koleo kwa jina lake.
Habari zaidi:
Gaza, mtoto mmoja anauawa kila baada ya dakika 10. Tangu Oktoba 7, 2023 Israel imeua zaidi ya watoto 4,000. Sasa, watoto wachanga katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza wanakufa kwa sababu taasisi hiyo haina umeme baada ya zaidi ya mwezi mmoja.
Israel inajua inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa kimataifa kwa mauaji yake ya watoto. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, ambao hadi sasa wamekuwa waaminifu katika kusaidia Israel, wameomba serikali ya Israeli kusitisha mauaji ya watoto.
Kama matokeo, propaganda na uongo ya Israel inatafuta njia mpya za kuhalalisha kuua watoto na kubomoa vituo vya matibabu.
Mnamo Novemba 11, akaunti rasmi ya Kiarabu inayosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilichapisha video ya muuguzi, anayeonekana kuwa na wasiwasi, akizungumzia jinsi Hamas inavyoshambulia Hospitali ya al-Shifa na kuchukua mafuta yote na morfiini. Video hiyo, ambayo ilichezwa mara elfu, haikuwa video halisi.
Hakuna wafanyakazi katika eneo hilo wanaonekana kumtambua mtu aliyeonekana, wakitia shaka utambulisho wake na jukumu lake. Robert Mackey, mwandishi wa shirika la utafiti la Forensic Architecture, alizungumza na wafanyakazi watatu wa Madaktari Wasio na Mipaka wanaofanya kazi katika Hospitali ya al-Shifa, ambao hakuna hata mmoja wao aliyemtambua.
Muuguzi aliongea kwa lugha isiyo ya Kipalestina, na mazungumzo yake yalionekana kuakisi kikamilifu hoja za kijeshi za Israel juu ya Hamas kuiba mafuta yote kutoka hospitalini. Zaidi ya hayo, mahali mkakati wa kuweka nembo ya Wizara ya Afya ya Kipalestina ulikuwa jaribio lililopangwa la kudanganya.
Nasikia pia wanataka kuwavisha wale maiti nguo za Hamasi waseme wamewaua 😄
Karibu mtasikia America anatafuta urafiki na Hamasi, ili amsaidie vita yake na mchina.
Israel ananza kukimbiwa sasa taratibu na si ajabu America akamkimbia
vita ni vita mura, hata kwa mchongo cha muhimu ni kwamba tumekupiga.Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi: