- Thread starter
- #121
Mtakufa sana...kondoo
Kufa si taabu:
HRW refutes Israel's claims, finding no proof of Hamas using Al-Shifa Hospital for military purposes
Ila wauwaji madhwalimu kwao ni Shimo la Tewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakufa sana...kondoo
Kufa si taabu:
HRW refutes Israel's claims, finding no proof of Hamas using Al-Shifa Hospital for military purposes
Ila wauwaji madhwalimu kwao ni Shimo la Tewa!
Taarifa tunapewa na media hizi hizi zenye kumilikiwa na hao wayahudi wenye pesa nyingi.Unaelewa mada kuwaangazia watoto njiti wanaouliwa na magaidi hospitalini?
Bro ulitegemea huo ushahidi upo? Vita ni propaganda, wao, hawana muda wa kutafuta ushahidi wa mabaya ya Hamas, wao ni kupiga tu, unafikri hata wasingereta huo ushahidi wa mchongo, dunia ingefsnya nini? Dunia nzima ya kiarab, imefyata, kuna nchi zimetoa mabslozi wao Israel, kama India, South Afrika, nk, lakini kwa nini hawatoi mabalozi, wao USA ambayo ndio inampa Israel siraha na pesa? raisi wa china juzi, alikuwa USA, kwa nini hatoi balozi wake USA?Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi:
1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita.
==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana.
2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao hufunzwa upendo ila wa kipalestina hufunzwa ugaidi.
===> Yote hiyo ili kuhalalisha kuuwa hadi njiti.
3. Kwamba kamba ya kuokota karibu na hospitali imekuwa ilifungwa mateka.
===> Hivyo hospitali ni command center ya HAMAS.
4. Bunduki mbili tatu za kubambikiza ki PT zimekuwa za kuhalalisha command center hospitalini.
5. Nk.
Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi.
Big up sana Cyril Ramaphosa na Afrika kusini kwa kuwiva ki falsafa kwa hakika mnatutoa kimasomaso kwa kuliita koleo kwa jina lake.
Habari zaidi:
Gaza, mtoto mmoja anauawa kila baada ya dakika 10. Tangu Oktoba 7, 2023 Israel imeua zaidi ya watoto 4,000. Sasa, watoto wachanga katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza wanakufa kwa sababu taasisi hiyo haina umeme baada ya zaidi ya mwezi mmoja.
Israel inajua inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa kimataifa kwa mauaji yake ya watoto. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, ambao hadi sasa wamekuwa waaminifu katika kusaidia Israel, wameomba serikali ya Israeli kusitisha mauaji ya watoto.
Kama matokeo, propaganda na uongo ya Israel inatafuta njia mpya za kuhalalisha kuua watoto na kubomoa vituo vya matibabu.
Mnamo Novemba 11, akaunti rasmi ya Kiarabu inayosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilichapisha video ya muuguzi, anayeonekana kuwa na wasiwasi, akizungumzia jinsi Hamas inavyoshambulia Hospitali ya al-Shifa na kuchukua mafuta yote na morfiini. Video hiyo, ambayo ilichezwa mara elfu, haikuwa video halisi.
Hakuna wafanyakazi katika eneo hilo wanaonekana kumtambua mtu aliyeonekana, wakitia shaka utambulisho wake na jukumu lake. Robert Mackey, mwandishi wa shirika la utafiti la Forensic Architecture, alizungumza na wafanyakazi watatu wa Madaktari Wasio na Mipaka wanaofanya kazi katika Hospitali ya al-Shifa, ambao hakuna hata mmoja wao aliyemtambua.
Muuguzi aliongea kwa lugha isiyo ya Kipalestina, na mazungumzo yake yalionekana kuakisi kikamilifu hoja za kijeshi za Israel juu ya Hamas kuiba mafuta yote kutoka hospitalini. Zaidi ya hayo, mahali mkakati wa kuweka nembo ya Wizara ya Afya ya Kipalestina ulikuwa jaribio lililopangwa la kudanganya.
Bro ulitegemea huo ushahidi upo? Vita ni propaganda, wao, hawana muda wa kutafuta ushahidi wa mabaya ya Hamas, wao ni kupiga tu, unafikri hata wasingereta huo ushahidi wa mchongo, dunia ingefsnya nini? Dunia nzima ya kiarab, imefyata, kuna nchi zimetoa mabslozi wao Israel, kama India, South Afrika, nk, lakini kwa nini hawatoi mabalozi, wao USA ambayo ndio inampa Israel siraha na pesa? raisi wa china juzi, alikuwa USA, kwa nini hatoi balozi wake USA?
Waarabu na majigsmbo yao, wameonyesha unyonge Sana, Ndugu zao wanauliwa mpakani,hata kufungua mpaka tu wameogopa, nini kinawatisha kutoka kwa hawa wapalestina? Wawaulize Jordan, na Lebanon,
Miaka zaid ya 40,palestina waliwahi kukalibishwa kama wakimbizi Lebanon, na Jordan, wakazaliana wa kawa wengi, wakataka eneo wanaloishi liwe nchi yao, ilibidi mfalme wa Jordan atume jeshi kwenda kuwatwanga,
Hapa, nchi za kiarab zingeungana, beba watu wote wapeleke Iran, saudia,Qatar wapewe hifadhi, harafu liundwe jeshi la kiarab lipambane na Israel, mpaka ardhi ya palestina ipatikane,
Na cha ajabu viongozi wengi wa palestina wapo Paris, London, USA, na familia zao, wanatoa matamko tu, wajifunze kupitia harakati za mapambano ya kudai haki South Afrika, yaliyofanywa na Mandela na kikundi chake "Umkhonto we sizwe"
Hili jeshi lilipewa mafunzo Tanzania, Morogoro mazimbu, Nachingwea farm 17,na Iringa, Ile mitaa yenye majina Soweto nk, waliishi wapigania haki, wa bondeni,wengine mpaka walioa na kuanzisha familia.
Hamtaweza kuwafuta Wayahudi, alijaribu mungu wako Muddy kashindwa
Wanajeshi wa Israel wagundua miundo mbinu zaidi ya kigaidi chini ya hospitali ya Shifa
Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa.... IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages., “We continue to deepen our operational activity at Shifa...www.jamiiforums.com
Vita haijaisha bado acheni kuweweseka mapema hivi.Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi:
1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita.
==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana.
2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao hufunzwa upendo ila wa kipalestina hufunzwa ugaidi.
===> Yote hiyo ili kuhalalisha kuuwa hadi njiti.
3. Kwamba kamba ya kuokota karibu na hospitali imekuwa ilifungwa mateka.
===> Hivyo hospitali ni command center ya HAMAS.
4. Bunduki mbili tatu za kubambikiza ki PT zimekuwa za kuhalalisha command center hospitalini.
5. Nk.
Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi.
Big up sana Cyril Ramaphosa na Afrika kusini kwa kuwiva ki falsafa kwa hakika mnatutoa kimasomaso kwa kuliita koleo kwa jina lake.
Habari zaidi:
Gaza, mtoto mmoja anauawa kila baada ya dakika 10. Tangu Oktoba 7, 2023 Israel imeua zaidi ya watoto 4,000. Sasa, watoto wachanga katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza wanakufa kwa sababu taasisi hiyo haina umeme baada ya zaidi ya mwezi mmoja.
Israel inajua inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa kimataifa kwa mauaji yake ya watoto. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, ambao hadi sasa wamekuwa waaminifu katika kusaidia Israel, wameomba serikali ya Israeli kusitisha mauaji ya watoto.
Kama matokeo, propaganda na uongo ya Israel inatafuta njia mpya za kuhalalisha kuua watoto na kubomoa vituo vya matibabu.
Mnamo Novemba 11, akaunti rasmi ya Kiarabu inayosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilichapisha video ya muuguzi, anayeonekana kuwa na wasiwasi, akizungumzia jinsi Hamas inavyoshambulia Hospitali ya al-Shifa na kuchukua mafuta yote na morfiini. Video hiyo, ambayo ilichezwa mara elfu, haikuwa video halisi.
Hakuna wafanyakazi katika eneo hilo wanaonekana kumtambua mtu aliyeonekana, wakitia shaka utambulisho wake na jukumu lake. Robert Mackey, mwandishi wa shirika la utafiti la Forensic Architecture, alizungumza na wafanyakazi watatu wa Madaktari Wasio na Mipaka wanaofanya kazi katika Hospitali ya al-Shifa, ambao hakuna hata mmoja wao aliyemtambua.
Muuguzi aliongea kwa lugha isiyo ya Kipalestina, na mazungumzo yake yalionekana kuakisi kikamilifu hoja za kijeshi za Israel juu ya Hamas kuiba mafuta yote kutoka hospitalini. Zaidi ya hayo, mahali mkakati wa kuweka nembo ya Wizara ya Afya ya Kipalestina ulikuwa jaribio lililopangwa la kudanganya.
Nasikia [emoji4]Nasikia wanachimba turnel pale Al shifaa Hosipital ili wasingizie turnel la Hamasi [emoji1]
Nasikia [emoji4]Nasikia pia wanataka kuwavisha wale maiti nguo za Hamasi waseme wamewaua [emoji1]
Karibu mtasikia America anatafuta urafiki na Hamasi, ili amsaidie vita yake na mchina.
Israel ananza kukimbiwa sasa taratibu na si ajabu America akamkimbia
Nasikia [emoji4]
Vita haijaisha bado acheni kuweweseka mapema hivi.
Umeonesha ujinga hapa yaani yesu asimame na mashoga,wauaji?Ww ndio aibu imekushika kutetea magaidi na nabii wenu issa YESU MUNGU WA WANAISRAEL ANASIMAMA NAWO PAMOJA
Huna akili.Israel inatakiwa ichinje wote na pia ikipata mwanya ije na tz ichape magaidi hakuna kuleta huruma
Israeli futa kabisa hamasi
Taifa la Israel ni watoto wa Yakobo, hiyo ardhi ni urithi waliopewa na Mungu Mkuu, ambaye anajulikana pia kama Mungu wa Israel.......semeni nyinyi ni nani aliyewapa kumiliki ardhi ya Isreal? au ni allah!Soma historia dogo usiwe na mapenzi ya moja kwa moja Israel imeanzishwa lini
Mimi natizama tu kupitia vyombo vya habari na kusoma mitandaoni kwenye vyanzo mbali mbali.Au mwenzetu umeona?
Taifa la Israel ni watoto wa Yakobo, hiyo ardhi ni urithi waliopewa na Mungu Mkuu, ambaye anajulikana pia kama Mungu wa Israel.......semeni nyinyi ni nani aliyewapa kumiliki ardhi ya Isreal? au ni allah!