Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Tangu lini Israel ikawa eneo la wapalestina, nchi yenyewe inaitwa Israel halafu imilikiwe na wapalestina......ni sawasawa na kusema Tanganyika isimilikiwe na watanganyika bali imilikiwe na wakenya......don't you see the logic?
Israel ilijengwa kwenye Nchi iliyoitwa Palestine.... hivi huko mashuleni hamkusoma historia.
Screenshot_20231117-161251.jpg

Hakuna nchi ilikua inaitwa Israel kabla ya 1948!! Ila hilo eneo lilitwa PALESTINA. sasa kivipi palestines wakifukuza wavamizi iitwe ni uchokozi au ugaidi?
 
Wewe ulitaka wakute nini kule hospital ndio uamini Hamas walikuwepo pale

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Headquarter inayocomand watu zaidi Ya 40,000 wanaopigana vita ina mitambo ya kutosha, Hamas hawatumii Wireless wanatumia wired technologies ili wasidukuliwe, huwezi hamisha hivyo vitu kirahisi kwamba eti IDF wanakuja mkimbie msibakishe ushahidi, tena Mjini kwenye Hospitali kubwa.
 
Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi:

1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita.

==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana.

2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao hufunzwa upendo ila wa kipalestina hufunzwa ugaidi.

===> Yote hiyo ili kuhalalisha kuuwa hadi njiti.

3. Kwamba kamba ya kuokota karibu na hospitali imekuwa ilifungwa mateka.

===> Hivyo hospitali ni command center ya HAMAS.

4. Bunduki mbili tatu za kubambikiza ki PT zimekuwa za kuhalalisha command center hospitalini.

5. Nk.

Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi.

Big up sana Cyril Ramaphosa na Afrika kusini kwa kuwiva ki falsafa kwa hakika mnatutoa kimasomaso kwa kuliita koleo kwa jina lake.

Habari zaidi:
Gaza, mtoto mmoja anauawa kila baada ya dakika 10. Tangu Oktoba 7, 2023 Israel imeua zaidi ya watoto 4,000. Sasa, watoto wachanga katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza wanakufa kwa sababu taasisi hiyo haina umeme baada ya zaidi ya mwezi mmoja.

Israel inajua inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa kimataifa kwa mauaji yake ya watoto. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, ambao hadi sasa wamekuwa waaminifu katika kusaidia Israel, wameomba serikali ya Israeli kusitisha mauaji ya watoto.

Kama matokeo, propaganda na uongo ya Israel inatafuta njia mpya za kuhalalisha kuua watoto na kubomoa vituo vya matibabu.

Mnamo Novemba 11, akaunti rasmi ya Kiarabu inayosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilichapisha video ya muuguzi, anayeonekana kuwa na wasiwasi, akizungumzia jinsi Hamas inavyoshambulia Hospitali ya al-Shifa na kuchukua mafuta yote na morfiini. Video hiyo, ambayo ilichezwa mara elfu, haikuwa video halisi.

Hakuna wafanyakazi katika eneo hilo wanaonekana kumtambua mtu aliyeonekana, wakitia shaka utambulisho wake na jukumu lake. Robert Mackey, mwandishi wa shirika la utafiti la Forensic Architecture, alizungumza na wafanyakazi watatu wa Madaktari Wasio na Mipaka wanaofanya kazi katika Hospitali ya al-Shifa, ambao hakuna hata mmoja wao aliyemtambua.

Muuguzi aliongea kwa lugha isiyo ya Kipalestina, na mazungumzo yake yalionekana kuakisi kikamilifu hoja za kijeshi za Israel juu ya Hamas kuiba mafuta yote kutoka hospitalini. Zaidi ya hayo, mahali mkakati wa kuweka nembo ya Wizara ya Afya ya Kipalestina ulikuwa jaribio lililopangwa la kudanganya.
Kwani October 7 Hamas walipoivamia Israel waliua watoto wangapi wa Israel?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe ndo ulituma magaidi ya Hamas kwenda kuua na kuteka waisrael, basi tulia hivyo hivyo sindano iingie.
Hamas walifanya ugaidi na Israel nao wanafanya ugaidi mara kumi yake. Hii haikubaliki. Ukiwa upo mbali kama Tanzania na huna empathy ni rahisi sana kuandika ulivyoandika.
 
Tena IDF wakiwa wamezingira Gaza ardhini, angani na baharini.

Bowen: Ceasefire demands will grow without proof of Hamas HQ at Al-Shifa
Kuna hii habari kutoka BBC. Nao wameandika unachowaza sasa. Wanasema inatakiwa Israel ithibitishe kuhusu hospital kutumiwa na Hamas kama ngome la sivyo dunia haitawailewa.
 
Mada umeielewa lakini ndugu? Au labda unasema wale watoto njiti wanaouliwa na IDF hospitalini waliuwa watoto wangapi wa Israel?

Afrika Kusini wana ukomavu wa kifikra sana kuhitaji Natenyahu, Israel na magaidi wote kuwajibishwa kwa ugaidi wao.
 
Israel ilijengwa kwenye Nchi iliyoitwa Palestine.... hivi huko mashuleni hamkusoma historia.
View attachment 2816572
Hakuna nchi ilikua inaitwa Israel kabla ya 1948!! Ila hilo eneo lilitwa PALESTINA. sasa kivipi palestines wakifukuza wavamizi iitwe ni uchokozi au ugaidi?
Mfalme wa Palestine mwaka 1948 kushuka 1920 aliitwa nani? Au nani mwanzilishi wa taifa la Palestine au Kingdom ya Palestine?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Afrika Kusini wana ukomavu wa kifikra sana kuhitaji Natenyahu, Israel na magaidi wote kuwajibishwa kwa ugaidi wao.
Africa kusini hawana ukomavu wowote wamechochewa na urusi kama ni wapenda haki kwanini walishindwa kumkamata Omar Al Bashir alipoitembelea Africa kusini na aliua waislamu wengi huko Sudan

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ninakazia:

"Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi."
Falsafa ya kipumbavu unaiunga mkono? Walirushaje maroketi?. Alitaka wakute vifaru pale kwenye andaki au?. Ramaphoza Mpuuzi tu fulani.mbona akukemea kuuwawa kwa waisraeli. Apeleke askali na vifaa vya kivita Kama alivyopeleka Russia. Anashindwa nini kupeleka Gaza?
 
Jibu swali kwa usahihi na usitenge na ukweli nakuuliza wale watoto waisrael waliochomwa moto na Hamas na wengine kutekwa je sio uhalifu wa kivita au ni sheria ipi imewaruhusu Hamas?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Achana na mpuuzi huyo walipokufa waisrael yalipiga makofi Kama mazombi wenye akili walijua kinachofata Ni nini. Ukiua mwisrael mmoja wanaua kumi wameua 1200 waisrael washaua zaidi ya 12000 mpaka Sasa. Na ardhi inachukuliwa ile
 
Ramaposa kama mpenda haki angempinga Putin kitendo cha kuivamia Ukraine na kuua waukraine wasio na hatia ila alipeleka hadi silaha huu ni unafiki na upuuzi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app

Kumpinga Putin ni sawa kama ilivyo kumpinga Natenyahu. Hata hivyo Heri ya nusu shari. Kwani zile mbuzi mbuzi zisimpinga Putin au Natenyahu zinasema je?

Moja hii hapa MK254.
 
Achana na mpuuzi huyo walipokufa waisrael yalipiga makofi Kama mazombi wenye akili walijua kinachofata Ni nini. Ukiua mwisrael mmoja wanaua kumi wameua 1200 waisrael washaua zaidi ya 12000 mpaka Sasa. Na ardhi inachukuliwa ile

Zombie ni wewe nesi wa mchongo uliyeveshwa dera jeupe usiyejulijana
 
Back
Top Bottom