Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Kumpinga Putin ni sawa kama ilivyo kumpinga Natenyahu. Hata hivyo Heri ya nusu shari. Kwani zile mbuzi mbuzi zisimpinga Putin au Natenyahu zinasema je?

Moja hii hapa MK254.
Wavaa kobaz wengi mlimuunga Putin kuua waukraine kwa visingizio vya uwongo nawashanga sasahivi mnauchungu na wapalestina walioanzisha vita wenyewe

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kumwunga mkono yeyote hakuwezi kufungananishwa na kiatu cha kuvaa. Ukweli mchungu wamwungao mkono Putin Ukraine ni wapuuzi sawa na wamwungao mkono Natenyahu Gaza.
 
Kumwunga mkono yeyote hakuwezi kufungananishwa na kiatu cha kuvaa. Ukweli mchungu wamwungao mkono Putin Ukraine ni wapuuzi sawa na wamwungao mkono Natenyahu Gaza.
Waislamu mlimshangilia Putin kuua waukraine lakini mbona mnauchungu na Palestine je kuna tofauti gani hapo?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Waislamu mlimshangilia Putin kuua waukraine lakini mbona mnauchungu na Palestine je kuna tofauti gani hapo?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app

Nani kakwambia Kuna issue ya waislamu hapa au hata nani kakwambia kuandika kuhusi haki uwe mwislamu?

Hivi unajua Israel waislamu ni 16% dhidi ya wakkristo walio 1.6%?
 
Zombie ni wewe nesi wa mchongo uliyeveshwa dera jeupe usiyejulijana
Umeona faida ya kushangialia maroketi kizombi zombi. Hamas wanavuna walichokipanda. Endelea kushangilia na yanayoendelea Sasa pia. Yaan nyiye MIZOMBI manatakiwa muelewe hakuna wakati utaua mwisraeli alafu usilipiziwe kisasi. Hamas kapanda vifo anavuna vifo.
 
Nani kakwambia Kuna issue ya waislamu hapa au hata nani kakwambia kuandika kuhusi haki uwe mwislamu?

Hivi unajua Israel waislamu ni 16% dhidi ya wakkristo walio 1.6%?
Sasa kwanini una uchungu na wapalestina kuliko waislamu wanauawa Sudan, Somalia, Ukraine?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Umeona faida ya kushangialia maroketi kizombi zombi. Hamas wanavuna walichokipanda. Endelea kushangilia na yanayoendelea Sasa pia. Yaan nyiye MIZOMBI manatakiwa muelewe hakuna wakati utaua mwisraeli alafu usilipiziwe kisasi. Hamas kapanda vifo anavuna vifo.

Unatambua Israel waliovamiwa ni walowezi yaani wezi au vibaka kwa lugha rasmi?
 
Ww ndio aibu imekushika kutetea magaidi na nabii wenu issa YESU MUNGU WA WANAISRAEL ANASIMAMA NAWO PAMOJA
 
Israel inatakiwa ichinje wote na pia ikipata mwanya ije na tz ichape magaidi hakuna kuleta huruma
 
Ww ndio aibu imekushika kutetea magaidi na nabii wenu issa YESU MUNGU WA WANAISRAEL ANASIMAMA NAWO PAMOJA

Ndiyo maana umevalishwa dera jeupe nesi fake kuhalalisha mauaji ya njiti hospitali.
 
Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi:

1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita.

==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana.

2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao hufunzwa upendo ila wa kipalestina hufunzwa ugaidi.

===> Yote hiyo ili kuhalalisha kuuwa hadi njiti.

3. Kwamba kamba ya kuokota karibu na hospitali imekuwa ilifungwa mateka.

===> Hivyo hospitali ni command center ya HAMAS.

4. Bunduki mbili tatu za kubambikiza ki PT zimekuwa za kuhalalisha command center hospitalini.

5. Nk.

Waliowiva kifalsafa hawawezi kukubaliana na uhayawani ila zile mbuzi mbuzi.

Big up sana Cyril Ramaphosa na Afrika kusini kwa kuwiva ki falsafa kwa hakika mnatutoa kimasomaso kwa kuliita koleo kwa jina lake.

Habari zaidi:
Gaza, mtoto mmoja anauawa kila baada ya dakika 10. Tangu Oktoba 7, 2023 Israel imeua zaidi ya watoto 4,000. Sasa, watoto wachanga katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza wanakufa kwa sababu taasisi hiyo haina umeme baada ya zaidi ya mwezi mmoja.

Israel inajua inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa kimataifa kwa mauaji yake ya watoto. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, ambao hadi sasa wamekuwa waaminifu katika kusaidia Israel, wameomba serikali ya Israeli kusitisha mauaji ya watoto.

Kama matokeo, propaganda na uongo ya Israel inatafuta njia mpya za kuhalalisha kuua watoto na kubomoa vituo vya matibabu.

Mnamo Novemba 11, akaunti rasmi ya Kiarabu inayosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilichapisha video ya muuguzi, anayeonekana kuwa na wasiwasi, akizungumzia jinsi Hamas inavyoshambulia Hospitali ya al-Shifa na kuchukua mafuta yote na morfiini. Video hiyo, ambayo ilichezwa mara elfu, haikuwa video halisi.

Hakuna wafanyakazi katika eneo hilo wanaonekana kumtambua mtu aliyeonekana, wakitia shaka utambulisho wake na jukumu lake. Robert Mackey, mwandishi wa shirika la utafiti la Forensic Architecture, alizungumza na wafanyakazi watatu wa Madaktari Wasio na Mipaka wanaofanya kazi katika Hospitali ya al-Shifa, ambao hakuna hata mmoja wao aliyemtambua.

Muuguzi aliongea kwa lugha isiyo ya Kipalestina, na mazungumzo yake yalionekana kuakisi kikamilifu hoja za kijeshi za Israel juu ya Hamas kuiba mafuta yote kutoka hospitalini. Zaidi ya hayo, mahali mkakati wa kuweka nembo ya Wizara ya Afya ya Kipalestina ulikuwa jaribio lililopangwa la kudanganya.
Unataka ushahidi gani, siraha na vifaa vya kijeshi kupatikana ndani ya hospitali ikiwamo nembo za Hamas kwako ni nini?
Shimo lipo na limeonyeshwa, maiti za mateka zimepatikana kwenye majengo yanayozunguka hospitali 1. Wao ni wajinga ukitaka wakamatwe hapo, walipoona hawawezi kuzuia Idf kuingia hapo walikimbia.
 
Israel inatakiwa ichinje wote na pia ikipata mwanya ije na tz ichape magaidi hakuna kuleta huruma

Kuna na mwingine hapa hatakiwi kutia mguu kwa mabeberu:

F--PeDjW0AAjtCl.jpg
 
Vita Haina macho,hata mtoto akionekana war zone chuma kinamhusu
 
Back
Top Bottom