Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,222
Reaction score
1,425
Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida.

Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma.

Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
 
Duh ya kweli haya, na nimetoka kulipia GB 35 za kifurushi cha mwezi!!
 
  • Thanks
Reactions: 511
Pole kwa usumbufu tunaoendelea kulifanyia kazi😂tunaomba uendelee kuituliza wenge
 
  • Thanks
Reactions: 511
Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida.

Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma.

Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
Mkuu labda device yako au sehemu Ulipo. Sasa hivi niko hapa ni jirani na impara mtandao ni airtel 4G
 
Sasa hapa nimependaje vya bure na kifurushi nimelipia??? Ninacholalamikia ni speed ya internet... au imekua ngumu kwako kuelewa ndio maana unatukana?
😂😂😂😂Umeweka uzio ww muendaji tuliza kishundu unapenda offer ndio maana linakukuta jambo
 
  • Thanks
Reactions: 511
Sasa hapa nimependaje vya bure na kifurushi nimelipia??? Ninacholalamikia ni speed ya internet... au imekua ngumu kwako kuelewa ndio maana unatukana?
Ndio Ivo mnataka kitonga GB nyingi lazima na speed ishuke watumiaji wengi
 
  • Thanks
Reactions: 511
Sijakutana na hilo tatizo, ndio mtandao natumia kwa internet. Nimeshtuka uliposema mji mzima ni 2G nikahisi nimetoka nje ya mji bila kujua 😃

Kuna mahali kwenye mwili wake anaumwa
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Voda na Tigo kuna baadhi ya siku inakamata na kusoma 5G…

Ila airtel naonaga wanalalamika wadau siku ikiamua kuwakazia ni inakaza kuanzia call mpk data.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom