Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

Voda na Tigo kuna baadhi ya siku inakamata na kusoma 5G…

Ila airtel naonaga wanalalamika wadau siku ikiamua kuwakazia ni inakaza kuanzia call mpk data.
😂😂😂😂Nahisi hii inshu itakua changamoto ya minara pia
 
  • Thanks
Reactions: 511
Voda na Tigo kuna baadhi ya siku inakamata na kusoma 5G…

Ila airtel naonaga wanalalamika wadau siku ikiamua kuwakazia ni inakaza kuanzia call mpk data.
Labda mbuguni😃 hamieni mjini tokeni mashambani kwani mmekuwa migomba
 
Mkuu hata mimi nashangaa tangu jana kuna mabadiliko.


Najiuliza ni hujuma au ni marekebisho?

Kama ni marekebisho huu sio wakati wake na labda ni mtandao umezidiwa pia haiji akilini.
Maandalizi ya Mwaka mpya kote mwendo wa kichapo
 
Sijaelewa ulichoandika..

Yan kifaa na mtandao vinanipa 5G unaniambia nihame?

Wahame hao airtel,,
Hao wanaolalamika kuhusu airtel, wewe si uko voda. marryjane
 
Uliandika “hamieni” sounds niko included..

Ni mapito tu wanapitia ya ukarabati itakuwa..

Natumia voda, walivyoleta hiyo michezo ya E- sim nikadilute simu ikawa ya laini mbili, na Tigo pia wanaletaga 5G/ LTE
Ok mrembo, shushia pepsi baridi umejieleza vyema.👏👏
 
Airtel mwaka mpya wajipange upya nahic kuna shida.Wakubali tu matokeo.
 
Back
Top Bottom