Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Arusha Geneva ya Tanzania??? Au Arusha nyingine ๐๐๐๐๐
Duh ya kweli haya, na nimetoka kulipia GB 35 za kifurushi cha mwezi!!
Mbinguni huendi.. hahaPole kwa usumbufu tunaoendelea kulifanyia kazi๐tunaomba uendelee kuituliza wenge
Aiseee mbona kipengeleMimi pia nimelipia juzi.. najutaaaaaa..
Mkuu labda device yako au sehemu Ulipo. Sasa hivi niko hapa ni jirani na impara mtandao ni airtel 4GYaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida.
Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma.
Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
๐๐๐๐Umeweka uzio ww muendaji tuliza kishundu unapenda offer ndio maana linakukuta jamboMbinguni huendi.. haha
๐๐๐๐Umeweka uzio ww muendaji tuliza kishundu unapenda offer ndio maana linakukuta jambo
Mtandao uko poa labda device yake au mahali alipo asiseme mji mzima.Nipo hapa Kilombero stand,mnara unasoma LTE
Niko njiro 88. Kawaida huwa inasoma 4G... ila tangu jana na juzi ni H+.Mkuu labda device yako au sehemu Ulipo. Sasa hivi niko hapa ni jirani na impara mtandao ni airtel 4G
Ndio Ivo mnataka kitonga GB nyingi lazima na speed ishuke watumiaji wengiSasa hapa nimependaje vya bure na kifurushi nimelipia??? Ninacholalamikia ni speed ya internet... au imekua ngumu kwako kuelewa ndio maana unatukana?
Sijakutana na hilo tatizo, ndio mtandao natumia kwa internet. Nimeshtuka uliposema mji mzima ni 2G nikahisi nimetoka nje ya mji bila kujua ๐Niko njiro 88. Kawaida huwa inasoma 4G... ila tangu jana na juzi ni H+.
Sijakutana na hilo tatizo, ndio mtandao natumia kwa internet. Nimeshtuka uliposema mji mzima ni 2G nikahisi nimetoka nje ya mji bila kujua ๐
mimi sikupingi,,Niko njiro 88. Kawaida huwa inasoma 4G... ila tangu jana na juzi ni H+.