Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Chadema ndio chama dora lazima walaumiwe kwa kufuja mali za inchi na kuzichezea kununua midege mibovu, viwanja vya ndege vijijini.Chadema huu usaliti waliowafanyia Watanzania ipo siku tutawapopoa makopo
Nani amenituma?Mwandishi umetumwa so hure
Mmeshindwa kuipopoa mbogamboga mtaiweza CDM?Chadema huu usaliti waliowafanyia Watanzania ipo siku tutawapopoa makopo.
Nafikiri ipo wazi nje ya mada hapo.Ni kama inavyoaibika serikali ya Magufuli kwa kutafuna pesa za wastaafu.
Kipindi cha JK, wastaafu walilipwa mafao yao si zaidi ya miezi mitatu baada ya kustaafu. Ila tangu Magufuli aingie madarakani, wastaafu hulipwa mafao yao baada ya kuwa wamesota kwa kipindi cha miaka miwili na nusu hadi mitatu.
Wastaafu wanakufa kabla ya kupata mafao. Mwambieni Magufuli, hii in aibu kubwa kwake binafsi na serikali yake.
Kwani ruzuku inayotafunwa na michango inayotafunwa sio mali ya umma?Hii ndio akili ya kitanzania. Kulaumu udhaifu wa mlango katika tukio la wizi badala ya mwizi mwenyewe!!
Kashfa za wizi wa fedha za umma sasa analaumiwa CHADEMA kwa kushindwa kuzipigia kelele badala ya kuchukua hatua dhidi ya wezi wenyewe!!
Iptl ipi? Dowans ipi? Na upigaji wa ndege zipi?Hivi unahabari upigaji mpya wa IpTL, diwans na ununuzi wa ndege?
Muda wa kufa unakuwa umewadia au unapingana na Mungu!Ni kama inavyoaibika serikali ya Magufuli kwa kutafuna pesa za wastaafu.
Kipindi cha JK, wastaafu walilipwa mafao yao si zaidi ya miezi mitatu baada ya kustaafu. Ila tangu Magufuli aingie madarakani, wastaafu hulipwa mafao yao baada ya kuwa wamesota kwa kipindi cha miaka miwili na nusu hadi mitatu.
Wastaafu wanakufa kabla ya kupata mafao. Mwambieni Magufuli, hii in aibu kubwa kwake binafsi na serikali yake.
Kwani kuna mshindi nje ya box la kura huwa anatangazwa?Mkubwa naheshimu mawazo yako.
Lakini nadhani njia Bora ya kuwahakikishia CHADEMA kuwa hawafai tena, tuweke mazingira sawa ya kampeini kwa vyama vyote, tume ya uchaguzi itende haki mshindi wa ndani ya box la kura ndio atangazwe sio yule wa maelekezo kutoka juu kwenye utukufu mshirika wa Mungu!
Huo ndio utakuwa msumari wa mwisho ktk jeneza la CHADEMA.
Wewe mbona unataka kunipangia mada za kuandika? Kama hazina mvuto achana nazo. Usiingilie uhuru wangu.Mada yako nyingine kuihusu cdm, hapa NCCR na Ccm umezipotezea maana unajua hazina mvuto.
Wewe mbona unataka kunipangia mada za kuandika? Kama hazina mvuto achana nazo. Usiingilie uhuru wangu.
Yaani Chadema wanamvuto? Na nina nongwa nao? Mimi wakati Dk Slaa katibu niliuza ng'ombe kwa ajili ya Chadema. Leo hii mmekuwa mafisadi.Sikupangii maana sina uwezo huo, ila nakuonyesha kuwa upo sehemu zisizo na mvuto, na wenye mvuto una nongwa nao.