Aibu kubwa ambayo inatia kinyaa kwa Watanzania

Chadema ndio chama dora lazima walaumiwe kwa kufuja mali za inchi na kuzichezea kununua midege mibovu, viwanja vya ndege vijijini.
🤣 🤣 🤣 🤣 tashtiti
 
Hapo awali CHADEMA kilionekana Chama ambacho sasa kimekuja kuwakwamua Watanzania toka katika tatizo kubwa lilikuwa linaiharibu nchi ya Tanzania.

Maana kilikuwa ndio mwiba kwa serikali ya CCM ambayo ilikuwa imechafuka na kuruhusu mianya ya ufisadi katika kila sekta. Palipotokea ufisadi wowote wao ndio walikuwa kidedea kuifichua na kuibana serikali. Na ilifikia kipindi wananchi wengi walihisi CCM inaenda kufa.

Mfano ni mikataba mibovu ya kuanzishwa mgodi wa Buzwagi ilipofichuliwa CHADEMA walipata umaarufu.

Dk Slaa kabla hajawa katibu mkuu alifichua madudu mengi kama Meremeta, EPA n.k na hii illikijengea CHADEMA heshima kubwa.

Mwaka 2015 baada ya kuondoka Dk. Slaa wamegeuka wao ndio wamekuwa mafisadi. Yaani hata bado kukanidhiwa dola wanakula na kufisadi michango ya wanachama na ruzuku bila aibu.

Kumbe hawa ni mafisadi hatari maana imeandikwa kama mtu hana uaminifu kwa kidogo; je, kikubwa atapata wapi uaminifu?

Kwa aibu hii iliyowakumba sijui Oktoba itakuwaje mbele za wananchi wakati wakiomba kura.
Umeandika utumbo mtupu yaani mahakams ya mafisadi mlianzisha kwa ajili ya nani kama chadema ni mafisadi polisi wenu mahakama zenu kwann hamchukui hatua?
 
Wapiga kura walishahama toka 2015, walipoona JPM anatekeleza yale wanayoyataka pale alipoanza kuchapa kazi.

Hata wakoloni mbona walichapa kazi na watu hawakuwaunga mkono? Haya maplantation humu nchini yalianzishwa na hao hao wakoloni.
 
Mfano mfu. Wakoloni nia yao kubwa ilikuwa kuinyonya Tanzania nani angeliwaunga mkono. Mbona unafeli sana?

Kwani hata leo hiyo migodi wanaochimba kiuhakika ni sisi? Huu mradi wa reli wanaochukua pesa nyingi za ujenzi ni sisi au hao hao mabeberu?
 
Tanzania ipo huru hii reli ni yetu. Kulipwa kwa kazi ya kujenga ni haki yao maana ki kampuni zao. Sasa hivi hata kwenye madini sisi tunanufaika baada ya JPM kuingia madarakani.

Hata hizi reli walizojenga wazungu kwani waliondoka nazo au bado ni zetu? Kwenye madini tunanufaika lakini wao ndio wananufaika zaidi yetu. Kuna tofauti gani na wakati wa ukoloni?
 
Hapo awali CHADEMA kilionekana Chama ambacho sasa kimekuja kuwakwamua Watanzania toka katika tatizo kubwa lilikuwa linaiharibu nchi ya Tanzania.

Maana kilikuwa ndio mwiba kwa serikali ya CCM ambayo ilikuwa imechafuka na kuruhusu mianya ya ufisadi katika kila sekta. Palipotokea ufisadi wowote wao ndio walikuwa kidedea kuifichua na kuibana serikali. Na ilifikia kipindi wananchi wengi walihisi CCM inaenda kufa.

Mfano ni mikataba mibovu ya kuanzishwa mgodi wa Buzwagi ilipofichuliwa CHADEMA walipata umaarufu.

Dk Slaa kabla hajawa katibu mkuu alifichua madudu mengi kama Meremeta, EPA n.k na hii illikijengea CHADEMA heshima kubwa.

Mwaka 2015 baada ya kuondoka Dk. Slaa wamegeuka wao ndio wamekuwa mafisadi. Yaani hata bado kukanidhiwa dola wanakula na kufisadi michango ya wanachama na ruzuku bila aibu.

Kumbe hawa ni mafisadi hatari maana imeandikwa kama mtu hana uaminifu kwa kidogo; je, kikubwa atapata wapi uaminifu?

Kwa aibu hii iliyowakumba sijui Oktoba itakuwaje mbele za wananchi wakati wakiomba kura.
Kama ni aibu ungeona aibu kwa jinsi CCM walivyofuja pesa zetu kwa almost 3 Geenrations na bado wanaendelea kama kawaida.

Anza kuonea huruma kodi zetu kwanza kabla ya kuonea huruma michango. Kama ni michango hata akina Gwajima, Kakobe wanaila sana tu ............!!
 
Mbowe ni miaka 20+ ni mwenyekiti wa CHADEMA,akipewa nchi atatoka kweli?

Hakuna wanachama wengine wenye sifa ya kukiongoza chadema?inafika sehem uwe na kiasi,useme inatosha sasa,hata kama wananchi wanakutaka sio ndio ukae milele,kuna wakati ni lazima uwondoke na heshima zako,angebaki mshauri wa chama,ona sasa skendo za ufisadi+ubabe zimemwandama kila kona
Hakika mbowe nimemdharau na kumpuuza.
 
Hapo awali CHADEMA kilionekana Chama ambacho sasa kimekuja kuwakwamua Watanzania toka katika tatizo kubwa lilikuwa linaiharibu nchi ya Tanzania.

Maana kilikuwa ndio mwiba kwa serikali ya CCM ambayo ilikuwa imechafuka na kuruhusu mianya ya ufisadi katika kila sekta. Palipotokea ufisadi wowote wao ndio walikuwa kidedea kuifichua na kuibana serikali. Na ilifikia kipindi wananchi wengi walihisi CCM inaenda kufa.

Mfano ni mikataba mibovu ya kuanzishwa mgodi wa Buzwagi ilipofichuliwa CHADEMA walipata umaarufu.

Dk Slaa kabla hajawa katibu mkuu alifichua madudu mengi kama Meremeta, EPA n.k na hii illikijengea CHADEMA heshima kubwa.

Mwaka 2015 baada ya kuondoka Dk. Slaa wamegeuka wao ndio wamekuwa mafisadi. Yaani hata bado kukanidhiwa dola wanakula na kufisadi michango ya wanachama na ruzuku bila aibu.

Kumbe hawa ni mafisadi hatari maana imeandikwa kama mtu hana uaminifu kwa kidogo; je, kikubwa atapata wapi uaminifu?

Kwa aibu hii iliyowakumba sijui Oktoba itakuwaje mbele za wananchi wakati wakiomba kura.
Wanavowindwa usiku na mchana maneno yako yangekuwa ni sahihi ile mahakama ya mafisadi isingekosa wateja
 
Mbowe ni miaka 20+ ni mwenyekiti wa CHADEMA,akipewa nchi atatoka kweli?

Hakuna wanachama wengine wenye sifa ya kukiongoza chadema?inafika sehem uwe na kiasi,useme inatosha sasa,hata kama wananchi wanakutaka sio ndio ukae milele,kuna wakati ni lazima uwondoke na heshima zako,angebaki mshauri wa chama,ona sasa skendo za ufisadi+ubabe zimemwandama kila kona
Hakika mbowe nimemdharau na kumpuuza.
Kwann ccm ndio wanaokerwa na uenyekiti wake kuliko cdm
 
Back
Top Bottom