Aibu kubwa ambayo inatia kinyaa kwa Watanzania


 
Yaani Chadema wanamvuto? Na nina nongwa nao? Mimi wakati Dk Slaa katibu niliuza ng'ombe kwa ajili ya Chadema. Leo hii mmekuwa mafisadi.

Ndio maana nakuambia kila mara ww ni bendera fuata upepo.
 
Reactions: BAK
Chadema huu usaliti waliowafanyia Watanzania ipo siku tutawapopoa makopo.
Moyo wako na akili yako inakiri kuwa wewe ni mfia posho na ni mnafiki wa kiwango Cha juu! Nafsi yako imekuongoza vyema kuandika juu ya usaliti wa ccm kwa watanzania lakini vidole na macho yako yamesaliti nafsi kutokana na njaa uliyonayo! Utapata shida nyingi na kubwa mno maishani Kama hukuuuacha huu usaliti wa nafsi!
 
You deserve "ignore" unless change your attitude.
 
Wewe endelea kushabikia ccm iliyopo madarakani tangu 1954 halafu upo hapo Mburahati huna uhakika utakula nini. Wenzetu Ulaya na Amerika wanabadilisha vyama kila miaka 4-8 nyie miaka 64 sasa mnadumisha chama, haya...
 
Wewe endelea kushabikia ccm iliyopo madarakani tangu 1954 halafu upo hapo Mburahati huna uhakika utakula nini. Wenzetu Ulaya na Amerika wanabadilisha vyama kila miaka 4-8 nyie miaka 64 sasa mnadumisha chama, haya...
Kwani kubadili Chama ndio kupata maendeleo? Mbona China hujaitolea mfano?
 
Rais wa matapeli tanzania
 
Hii ndio akili ya kitanzania. Kulaumu udhaifu wa mlango katika tukio la wizi badala ya mwizi mwenyewe!!

Kashfa za wizi wa fedha za umma sasa analaumiwa CHADEMA kwa kushindwa kuzipigia kelele badala ya kuchukua hatua dhidi ya wezi wenyewe!!
Chadema wameiba ruzuku ya nchi mambo yamegeuka
 
Acha uongo walindamana wakapigwa fimbo leo mmesahu manyumbu nyie hamkumbuki
 
Kila siku watu wanahama nyie mnasema mpo makini
 
Sikupangii maana sina uwezo huo, ila nakuonyesha kuwa upo sehemu zisizo na mvuto, na wenye mvuto una nongwa nao.
Mvuto wa kupanga miaka 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…