Kama hujui English rudi shule bar ya vichaa wewe BAVICHAKama ni aibu ungeona aibu kwa jinsi CCM walivyofuja pesa zetu kwa almost 3 Geenrations na bado wanaendelea kama kawaida.
Anza kuonea huruma kodi zetu kwanza kabla ya kuonea huruma michango. Kama ni michango hata akina Gwajima, Kakobe wanaila sana tu ............!!
Atoke aende wapi?Mbowe ni miaka 20+ ni mwenyekiti wa CHADEMA,akipewa nchi atatoka kweli?
Hakuna wanachama wengine wenye sifa ya kukiongoza chadema?inafika sehem uwe na kiasi,useme inatosha sasa,hata kama wananchi wanakutaka sio ndio ukae milele,kuna wakati ni lazima uwondoke na heshima zako,angebaki mshauri wa chama,ona sasa skendo za ufisadi+ubabe zimemwandama kila kona
Hakika mbowe nimemdharau na kumpuuza.
Hakuna kiongozi anahama peke yake
Where is your English you F#$@ken Idiot. My English is fine and probably better that yours .... by far!!Kama hujui English rudi shule bar ya vichaa wewe BAVICHA
Hahaha I can't ague with dwarf minded parson. Pis offWhere is your English you F#$@ken Idiot. My English is fine and probably better that yours .... by far!!
You are the one who started. Stop sniffing people's business..... Paka wa Lumumba.Hahaha I can't ague with dwarf minded parson. Pis off
Haijawahi tokea toka uhuru serikali kupoteza kiasi kikubwa kama Tril 1.5 kwa mujibu wa CAG na badala ya kufanya uchunguzi wa wapi pesa zilipotelea serikali ikamfukuza mpiga kelele za wizi(CAG)Hapo awali CHADEMA kilionekana Chama ambacho sasa kimekuja kuwakwamua Watanzania toka katika tatizo kubwa lilikuwa linaiharibu nchi ya Tanzania.
Maana kilikuwa ndio mwiba kwa serikali ya CCM ambayo ilikuwa imechafuka na kuruhusu mianya ya ufisadi katika kila sekta. Palipotokea ufisadi wowote wao ndio walikuwa kidedea kuifichua na kuibana serikali. Na ilifikia kipindi wananchi wengi walihisi CCM inaenda kufa.
Mfano ni mikataba mibovu ya kuanzishwa mgodi wa Buzwagi ilipofichuliwa CHADEMA walipata umaarufu.
Dk Slaa kabla hajawa katibu mkuu alifichua madudu mengi kama Meremeta, EPA n.k na hii illikijengea CHADEMA heshima kubwa.
Mwaka 2015 baada ya kuondoka Dk. Slaa wamegeuka wao ndio wamekuwa mafisadi. Yaani hata bado kukanidhiwa dola wanakula na kufisadi michango ya wanachama na ruzuku bila aibu.
Kumbe hawa ni mafisadi hatari maana imeandikwa kama mtu hana uaminifu kwa kidogo; je, kikubwa atapata wapi uaminifu?
Kwa aibu hii iliyowakumba sijui Oktoba itakuwaje mbele za wananchi wakati wakiomba kura.
Polepole hakumaanisha hii tume ya sasa sio huru. Bal ifanye kazi kwa uhuru uliomkamilifu kama ilivyo.Ndio maana hata sasa inafanya kazi bila kuingiliwa.
Tatizo huna unalojua wewe kaa hapo kwa mbowe uoshe vyomboJust listen properly WORD BY WORD and if possible just write down the whole statement and read it for yourself, unless KISWAHILI is your FOURTH language
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kuhusu billion 8.9 alizowatapeli mboweHaijawahi tokea toka uhuru serikali kupoteza kiasi kikubwa kama Tril 1.5 kwa mujibu wa CAG na badala ya kufanya uchunguzi wa wapi pesa zilipotelea serikali ikamfukuza mpiga kelele za wizi(CAG)
Vyombo vya habari navyo vimeshindwa kuhoji maana uhuru wa havari nao umeuawa kwa hii awamu
Ila jinai haifi kwa huu wizi mkuu ni lazima majambazi yote yatajavutwa kwenye mahakama ya sheria na kuhukumiwa kwa uovu wao.
Una English ya darasa la pili hiiYou are the one who started. Stop sniffing people's business..... Paka wa Lumumba.
Tunawahurumia sana nyieKwann ccm ndio wanaokerwa na uenyekiti wake kuliko cdm
Paka wa Lumumba nyinyi .... hamninyimi usingizi!!Una English ya darasa la pili hii
We bichwa maji? Uchaguzi kuwa huru maana yake tume ipo huru. Kwani hapa Tanzania uchaguzi sio huru?
Tatizo huna unalojua wewe kaa hapo kwa mbowe uoshe vyombo
Wakimchoka watamtimua bado Wana Imani nayeTunawahurumia sana nyie
Bichwa maji wewe sababu bichwa lako gumu kuelewa. Weka hiyo clip Rais akiwaamrisha wakurugenzi.