Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

[emoji2956]
 
Si bora anayekuteka na akataka umpe fedha akuachie kama ile mijambazo yenye mtandao wa utekaji kupata pesa walivyomfanyia mtoto wa mzee CHAULA...mijangili ya Marekani imemtwanga RISASI rais mstaafu na mgombea wa urais....

Kuwa serious mkuu....
Risas huyo mtwanga risas yuko wapi nyie wapuuz na ccm yenu mmeshindwa hata kueleza wale polis wa kila siku area D walikuwa wapi siku ya tukio la lissu mageti yote mawili, ndio maana mmekuwa mijinga mijinga na mtaropoka yote mliyowatendea wananchi wa nchi hii akiwemo mamayenu lazima ataropoka tu kama huamini ni swala la muda tu.
 
Naomba nikuulize swali? Kwa hiyo BBC wanawaonea wivu Africa na China? Au Samia na China.
 
Watwangaji Risasi ndio hao wanaotaka fedha ya fidia(ransom) kutoka kwa akina CHAULA....
 
Ndio maana nikasema peleka takataka za mkutano wenu kwenye makorido ya lumumba ukaangalie huko na mazwazwa wenzio huko ccm huku mkipanga mikakati ya kuteka watu maporin na yule mtumbuliwa DC wa longido.
 
Hizi media kubwa kubwa zina hidden agenda ya kuhakikisha kila kizuri cha wakubwa fulani kinapigiwa chapuo mara 10000000 huku uovu ukifunikwa na kifuniko kikuu...Afrika mlango unafunguliwa ili kila kitu kionekane lakini kisielezwe Kwa maslahi ya Mama Afrika..
 
Naomba nikuulize swali? Kwa hiyo BBC wanawaonea wivu Africa na China? Au Samia na China.
Sio wivu....

Wana roho mbaya na khiyana tu....hawataki TUAMKE na kuwa na ushirikiano wa HESHIMA kati ya mataifa ya DUNIA.....
 
Pelekeni chanel ten takataka zenu
 
Kwa nini mkutano huo usionyeshwe kwenye TV zao?
 
Ndio maana nikasema peleka takataka za mkutano wenu kwenye makorido ya lumumba ukaangalie huko na mazwazwa wenzio huko ccm huku mkipanga mikakati ya kuteka watu maporin na yule mtumbuliwa DC wa longido.
Usinitajie mtu aliyetumbuliwa mimi....

Huyo kapata alichostahili....

Kwani akina Kibatala hawapo wakamburuza MAHAKAMANI ?!!!
 
BBC, Al jezeera zote ni channel za ubeberu kwa Afrika. BBC ni ubeberu wa magharibi na Al jazeera kuacha suala la palestina ni channel ya ubeberu wa nchi za magharibi na kiarabu. BBC utawaona wakikazia mambo ya njaa maafa, magonjwa na dhiki afrika na pia mambo ya ovyo kama kueneza ushoga eti ni haki ya binadamu. Zikija habari njema au kuhimiza mambo ya uhuru na maendeleo ya kweli kiuchumi afrika au uhusiana na nchi za china na urusi ambazo hazitafuti kulinyonya bara la afrika huwaoni. Utaona wanajifanya kama hawana macho.
 
BBC MABEBERU...

AL JAZEERA MIBEBERU SUGU....
 
Watwangaji Risasi ndio hao wanaotaka fedha ya fidia(ransom) kutoka kwa akina CHAULA....
Wanataka fidia huku genge lenu mnaloita polis likishindwa kuwa na intelijensia ila chadema ikitaka kifanya mkutano ndio intelijensia inakuwepo ya uharifu ni mpumbavu pekee wa kuamin Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…