Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

Sio wivu....

Wana roho mbaya na khiyana tu....hawataki TUAMKE na kuwa na ushirikiano wa HESHIMA kati ya mataifa ya DUNIA.....
Wewe Ndio hutaki kuamka,hueleweki una bwana yupi,Wewe Mchina,Twende,America Twende,UK twende,Mrusi twende.

Siku si Nyingi mtaitwa jumuia ya madola mwenye BBC yake na mtaenda😂😂

Kifupi kama wewe ni maskini afu huna akili lazima unyanyaswe.
 
Kweli watu wana ajenda zao....

Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....

Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!

Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....

#Vijana Afrika Tutie Akili

#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Mfungueni media zenu??
kila siku kulalamika

Media ni sehemu za kusambaza information warfare
 
🤣🤣
 
Utawala wa wa-China ni utawala wa Shetani...
 
TBC SI IPO
 
Mabeberu ambayo yakiwapa misaada wanageuka wahisani ni mpumbavu pekee wa kuamin Hilo.
Hata mwizi huwa anaingia kanisani na msikitini....anakwenda kufanya ibada takatifu na haihusiani na wizi wake....
 
CCM haifanyi hizo mbanga....zilifanywa na wale majangili waliomtandika risasi mh.Rais mstaafu Trump mchana kweupeeeee....
 
Mfungueni media zenu??
kila siku kulalamika

Media ni sehemu za kusambaza information warfare
Umemaliza...BBC na AL JAZEERA are tools of informational warfare against DEVELOPING NATIONS....

Waelewe hawa GenZ ana akina ODEMBA.....
 
Wanataka fidia huku genge lenu mnaloita polis likishindwa kuwa na intelijensia ila chadema ikitaka kifanya mkutano ndio intelijensia inakuwepo ya uharifu ni mpumbavu pekee wa kuamin Hilo.
Chadema ni marafiki wa BBC na AL JAZEERA....
 
Wewe Ndio hutaki kuamka,hueleweki una bwana yupi,Wewe Mchina,Twende,America Twende,UK twende,Mrusi twende.

Siku si Nyingi mtaitwa jumuia ya madola mwenye BBC yake na mtaenda[emoji23][emoji23]

Kifupi kama wewe ni maskini afu huna akili lazima unyanyaswe.
Hata marafiki zetu Marekani mabwana zao KIUCHUMI ni wachina....huko uchina Marekani ina VIWANDA vikubwa zaidi ya 4000....
 
Back
Top Bottom