Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.

Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi kama huu.

Ni bil 42.5 tu zingeweza kusaidia wakazi wa Moro na Dar. Lakini hawajali wakazi hawa. Bora 2025 wamnyime kura.
 
Mradi Umeanza Ila Unayosuasua Ni Wazi Hautapiga Hatua Kuondoa Tatizo La Shida Ya Maji Morogoro, Kwasasa Mgao Unaendelea
 
Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi . Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.

Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi kama huu.

Ni bil 42.5 tu zingeweza kusaidia wakazi wa Moro na Dar. Lakini hawajali wakazi hawa. Bora 2025 wamnyime kura.
Umbea mkubwa. Dkt Samia hilo kalisemea jana akiwa Mvomero kupitia waziri wa maji. Sasa unataka nini zaidi? CCM Oyess Dkt Samia mitano zaidi!
 
Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi . Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.

Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi kama huu.

Ni bil 42.5 tu zingeweza kusaidia wakazi wa Moro na Dar. Lakini hawajali wakazi hawa. Bora 2025 wamnyime kura.
Kuna mtu amepost huu uzi hapa 👇 posbly ni chawa

Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi . Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.

Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi kama huu.

Ni bil 42.5 tu zingeweza kusaidia wakazi wa Moro na Dar. Lakini hawajali wakazi hawa. Bora 2025 wamnyime kura.
Ngoja upatiksne uhakika wa kura, hayo madogo yatajiseti.
 
Back
Top Bottom