Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Umbea mkubwa. Dkt Samia hilo kalisemea jana akiwa Mvomero kupitia waziri wa maji. Sasa unataka nini zaidi? CCM Oyess Dkt Samia mitano zaidi!Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi . Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.
Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi kama huu.
Ni bil 42.5 tu zingeweza kusaidia wakazi wa Moro na Dar. Lakini hawajali wakazi hawa. Bora 2025 wamnyime kura.
Acha kutetea ujinga. Mbona hatujasikia?Umbea mkubwa. Dkt Samia hilo kalisemea jana akiwa Mvomero kupitia waziri wa maji. Sasa unataka nini zaidi? CCM Oyess Dkt Samia mitano zaidi!
Dkt Samia alilisemea hilo kupitia Mh. Aweso, waziri wa majiAcha kutetea ujinga. Mbona hatujasikia?
Acha uongo we shangingiDkt Samia alilisemea hilo kupitia Mh. Aweso, waziri wa maji
Pimbi mkubwa, huna point. Tunaomba utuunge mkono CCM Dkt Samia 2025! Asante bosiAcha uongo we shangingi
Kuna mtu amepost huu uzi hapa 👇 posbly ni chawaHii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi . Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.
Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi kama huu.
Ni bil 42.5 tu zingeweza kusaidia wakazi wa Moro na Dar. Lakini hawajali wakazi hawa. Bora 2025 wamnyime kura.
Ngoja upatiksne uhakika wa kura, hayo madogo yatajiseti.Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi . Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.