Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

Pumbavu kabisa, haya ndio matumizi mabaya ya rasirimali watu.

Kijana anaishi kwa kulipwa kuwa chawa halafu kijana kabisa nguvu kazi inayopaswa kuwepo kwenye production.

Taifa hili lilipaswa kuongoza na mtu wa jamii ya Adolph Hittler hata kwa miaka 40.
 
Misamiati ya kujitambulisha imeongezeka.
Komredi, Mneki, Mchawa aka Mngurukia/Mparisite.
 
Kwanini mumsemee? Kwani hana mdomo?

Mwambieni tu ukweli kuwa actions speaks louder, hivyo mnazidi kuonekana hamnazo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…