Aibu kwa Mahakama baada ya kuthibitika kuwa ilikuwa ikitoa hukumu kwa kuwaonea akina Mbowe

This is incredible. Mbowe na Esther walifutiwa dhamana kwa kutotii masharti ya dhamana. Uamuzi wa Jaji ni uamuzi mahala hapo wakati huo, ndiyo maana kuna mahakama za rufaa. Jaji Simba ana haki ana wajibu ya kuamua anavyoona, na alitoa sababu zake, akasema wanaweza kukata rufaa. Jaji huyu mwingine naye katoa hukumu yake kadiri alivyoona na katoa sababu zake. Serkali ikikata rufaa pia itakuwta sawa, huko nako Jaji atakayekutwa ataamuabjinsoi atakavyoona na atatoa sababu zake. Hiyo ndiyo njia yankutafutabhaki, kuna kudhindwa na kudhinda,adiyerifhika hukata rufaa ya juu, bado ndiyo democracy.

Serkali ikikata rufaa bila shaka itashinda, uamuzi wa huyu Jaji umeacha kujibu hoja halisi. Waliandamana, yes, kinatakiwa kibali. Walipewa ilani na Polisi, hii ni sheria, hawakutii. Mbowe alihamasisha tubebe majeneza, hii tulisik8a wote, wameponaje? Kama kweli majaji wetu wanajipendejeza kwacraus, basi huyu mwebxetu kaona mbali kamuona rais tundulissu
Sijui wewe ndiye Thomas Simba mwenyewe au ndugu wa Thomas Simba. Hizi pumba ulizoandika hapa peleka zizi la nguruwe.

Tunakuambia kuwa ushahidi uliotolewa haukukidhi kuwakuta wana HATIA na bado unabisha.

Serikali ikikataa RUFAA tukutane tena hapa na wewe LGF
 
Ile hukumu ya Kisutu haikuwa ya yule hakimu bali aliyewahukumu wa Chadema alikuwa ni Magufuli mwenyewe na kazi ya yule hakimu ilikuwa ni kusoma hukumu tu ambayo iliandaliwa kabla huko ikulu.

Sasa kwa kuwa tayari Magufuli amekufa na mahakama nazo zimeondoka kifungoni.
 
This is incredible. Mbowe na Esther walifutiwa dhamana kwa kutotii masharti ya dhamana. Uamuzi wa Jaji ni uamuzi mahala hapo wakati huo, ndiyo maana kuna mahakama za rufaa. Jaji Simba ana haki ana wajibu ya kuamua anavyoona, na alitoa sababu zake, akasema wanaweza kukata rufaa. Jaji huyu mwingine naye katoa hukumu yake kadiri alivyoona na katoa sababu zake. Serkali ikikata rufaa pia itakuwta sawa, huko nako Jaji atakayekutwa ataamuabjinsoi atakavyoona na atatoa sababu zake. Hiyo ndiyo njia yankutafutabhaki, kuna kudhindwa na kudhinda,adiyerifhika hukata rufaa ya juu, bado ndiyo democracy.

Serkali ikikata rufaa bila shaka itashinda, uamuzi wa huyu Jaji umeacha kujibu hoja halisi. Waliandamana, yes, kinatakiwa kibali. Walipewa ilani na Polisi, hii ni sheria, hawakutii. Mbowe alihamasisha tubebe majeneza, hii tulisik8a wote, wameponaje? Kama kweli majaji wetu wanajipendejeza kwacraus, basi huyu mwebxetu kaona mbali kamuona rais tundulissu
Usiwe mpumbavu, hakuna kitu kinaitwa kibali cha kuandamana. Unatakiwa tu kutoa ripoti na polisi wanatakiwa tu watoe ulinzi. Kama kuna sababu ya kuzuia lazima itajwe na iwe na mantiki.

Kupiga marufuku tu kwa amri ya polisi bila sababu inayojitosheleza ni kuingilia uhuru wa wananchi kutoa dukuduku zao. Hayo ndiyo matokeo ya udikteta uchwara wa shetanii jiwe na heri kafa.

Hebu fikiria ile amri ya kuzuia watu wasisherehekee kifo chake iliyotolewa na polisi! Mamlaka gani hiyo inawazuia wananchi kusherehekea uhuru kutoka mikononi mwa shetani kama mwendazake?
 
Back
Top Bottom