Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Sijui wewe ndiye Thomas Simba mwenyewe au ndugu wa Thomas Simba. Hizi pumba ulizoandika hapa peleka zizi la nguruwe.This is incredible. Mbowe na Esther walifutiwa dhamana kwa kutotii masharti ya dhamana. Uamuzi wa Jaji ni uamuzi mahala hapo wakati huo, ndiyo maana kuna mahakama za rufaa. Jaji Simba ana haki ana wajibu ya kuamua anavyoona, na alitoa sababu zake, akasema wanaweza kukata rufaa. Jaji huyu mwingine naye katoa hukumu yake kadiri alivyoona na katoa sababu zake. Serkali ikikata rufaa pia itakuwta sawa, huko nako Jaji atakayekutwa ataamuabjinsoi atakavyoona na atatoa sababu zake. Hiyo ndiyo njia yankutafutabhaki, kuna kudhindwa na kudhinda,adiyerifhika hukata rufaa ya juu, bado ndiyo democracy.
Serkali ikikata rufaa bila shaka itashinda, uamuzi wa huyu Jaji umeacha kujibu hoja halisi. Waliandamana, yes, kinatakiwa kibali. Walipewa ilani na Polisi, hii ni sheria, hawakutii. Mbowe alihamasisha tubebe majeneza, hii tulisik8a wote, wameponaje? Kama kweli majaji wetu wanajipendejeza kwacraus, basi huyu mwebxetu kaona mbali kamuona rais tundulissu
Tunakuambia kuwa ushahidi uliotolewa haukukidhi kuwakuta wana HATIA na bado unabisha.
Serikali ikikataa RUFAA tukutane tena hapa na wewe LGF