Aibu kwa Mahakama baada ya kuthibitika kuwa ilikuwa ikitoa hukumu kwa kuwaonea akina Mbowe

Sijui wewe ndiye Thomas Simba mwenyewe au ndugu wa Thomas Simba. Hizi pumba ulizoandika hapa peleka zizi la nguruwe.

Tunakuambia kuwa ushahidi uliotolewa haukukidhi kuwakuta wana HATIA na bado unabisha.

Serikali ikikataa RUFAA tukutane tena hapa na wewe LGF
 
Ile hukumu ya Kisutu haikuwa ya yule hakimu bali aliyewahukumu wa Chadema alikuwa ni Magufuli mwenyewe na kazi ya yule hakimu ilikuwa ni kusoma hukumu tu ambayo iliandaliwa kabla huko ikulu.

Sasa kwa kuwa tayari Magufuli amekufa na mahakama nazo zimeondoka kifungoni.
 
Usiwe mpumbavu, hakuna kitu kinaitwa kibali cha kuandamana. Unatakiwa tu kutoa ripoti na polisi wanatakiwa tu watoe ulinzi. Kama kuna sababu ya kuzuia lazima itajwe na iwe na mantiki.

Kupiga marufuku tu kwa amri ya polisi bila sababu inayojitosheleza ni kuingilia uhuru wa wananchi kutoa dukuduku zao. Hayo ndiyo matokeo ya udikteta uchwara wa shetanii jiwe na heri kafa.

Hebu fikiria ile amri ya kuzuia watu wasisherehekee kifo chake iliyotolewa na polisi! Mamlaka gani hiyo inawazuia wananchi kusherehekea uhuru kutoka mikononi mwa shetani kama mwendazake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…