The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Mnamlaumu said wakati mama mwenyewe anatengeneza mazingira ya kudharaurika
Hapa ni hoja mchanganyikoHivi vitu mnatakiwa muwe mnapeleka kwenye jukwaa la burudani huku siyo mahali pake
Kwanza nitoe shukurani zangu za dhati kwa aliye juu, aibu hii iwapate machawa wote ili tuisome namba kwa umoja na wao wakiwemo.Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
View attachment 3325891View attachment 3325892
Bongo watu wanafosi uchekeshaji... waende wakajifunze kwa mR.BeanNchi hii hovyo sana. Wenye taaluma hawaitwi wakasikilizwa changamoto zao eti wanaitwa watu wamchekeshe rais. Aibu kubwa
MIALIKO IMEKUWA MINGI NA IZO EVENTS NAHISI ZINAPEWA JINA LAKE KIMKAKATI WATU KUPIGA PESA NA AMEKUWA WA KAWAIDA SANA KAMA SIO RAISMhii ivi Raisi wa Tanzania hana kazi. Naona anashugulika na mambo ya hovyo hovyo tu
Huyu dogo tangu alivyochekesha mbele ya Rais kwenye ile tuzo aliyoandaa ommy dimples nilikuwa na mashaka nae ila thanx God alimaliza salama,waandaji walitakiwa walitambue hilo,dogo alibahatisha mara ya kwanza kumweka mara ya pili ilikuwa ni kutake risk.Nachoelewa kiongozi mkuu wa nchi anapohudhuria event yoyote performance zote ziwe za kijeshi au za kiraia wahusika hufanya rehersal ya mda mrefu,na hakuna surprise pale.Kuruhusu upuuzi kama ule shows kuna watu hawafanyi kazi yao.Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
View attachment 3325891View attachment 3325892
Mnamuonea tu watu wapo kwenye industry yaoNimekiona hicho kitoto Said Said kipuuzi sana hakijui kua kuna wakati wa utani utani na kuna wakati wa kua serious kidogo. Jana kilitakiwa kijikite na ucheshi mbali na mama lakini chenyewe hovyoo wala hakikusoma wakati, kimeboa sana sana sidhani kama kitakuja ipata hio nafasi tena.
Shida nini watz mbona wivu sana?Huyu dogo tangu alivyochekesha mbele ya Rais kwenye ile tuzo aliyoandaa ommy dimples nilikuwa na mashaka nae ila thanx God alimaliza salama,waandaji walitakiwa walitambue hilo,dogo alibahatisha mara ya kwanza kumweka mara ya pili ilikuwa ni kutake risk.Nachoelewa kiongozi mkuu wa nchi anapohudhuria event yoyote performance zote ziwe za kijeshi au za kiraia wahusika hufanya rehersal ya mda mrefu,na hakuna surprise pale.Kuruhusu upuuzi kama ule shows kuna watu hawafanyi kazi yao.
Yaah watu walikua wanamsubirickwa hamuu sana, alipiga picha akajisifu mno, akatudisi sana, mpaka akaweka bango aloo.Inaelekea huyu dogo kupiga picha na Rais iliwaumiza watu wengi sana.
Watanzania wana wivu, chuki na roho mbaya sana.
Hakuna sehemu yoyote huyu dogo amemkosea Rais heshima, tatizo la watanzania wengi ni uelewa mdogo na uchawa kwa wingi.
Mnashindwa hata kuelewa vitu vidogo kama pale juu kijana alipanda kuchekesha?
Upo sahihi kabisa mkuu.Hawa Comediana hasa huyo Said Said hafai kabisaaa kabisaaaaa kuitwa katika events za Mh. Rais…!!
Wanao andaa events za Mh. Rais wasirudie tena kosa kama hilo, huyu kijana hajui mambo anayoongea, wala hachekeshi, anatia aibu na ni kukosa adabu kabisa, nimekereka kiukweli, asialikwe tena..
Leonardo is the best Comedian kualikwa na yule kijana wa Mbeya, mweusi, sijui anaitwa nani, pia akina Mpoki na Joti ndio wanafaa sana kualikwa..!!
Huyo mtoto Said Said hafai kabisa
Kwanini Rais aende ktk mediocre events ?Dogo bado hajakomaa kiakili Raisi ni Kiongozi mkuu wa Nchi huwezi mletea mzaha kama ule lazma uweke Mpaka na kumtofautisha na mtu mwengine wa kawaida
Event ile ilikuwa yakeKwanini Rais aende ktk mediocre events ?