darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Ni kweli, wanahitaji management inayobadilika na wakatiWenye media zao wanatakiwa wabadilike na mabadiliko ya teknolojia.
Wakitaka ku survive wajiongeze sana kwa kubuni products mpya kadri ya mahitaji ya jamii
Wakisema wakae kimya au walalamike tuu wamekwisha