AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with Diallo, Kwanza Diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
Mhhh siyo mtanzania ?
 
Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with Diallo, Kwanza Diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko

Kwahiyo wewe ndo mtanzania pekeako???
 
Acha ubaguzi, huyo ni mzinza. Usidamganyike na jina la dialo, majina mengi afrika yanafanana
Dialllo siyo mzinza ni msukuma wa Bariadi ila baadaye wazazi wake walihamia Malya wilayani Kwimba. Jina lake ni Antony Nyala. Diallo ni nick name tu.
 
Kuji
Radio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.

Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.

Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.

Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
Kuji ajiri ndiyo njia sahihi ya kupambana na ugumu wa maisha
Radio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.

Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.

Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.

Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
Kujiajiri bado ni njia sahihi ya kuepukana na kadhia Kama hz,kuajiliwa hukujawah kumwacha mtu salama hasa campuni ikiyumba Kama iv.
BOSS DALALI MKUU NAOMBA CONTACT ZAKO NA JAMPO NAWEWE:KUSAMEHE NA KUSAIDIA NI KWA FAIDA YA ANAE TOA SIYO ANAEPOKEA
 
Jamaa kaishiwa mbinu labda au alipukutishwa na Task force [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] usicheke mkuu!

Lile sekeseke la malimbikizo ya bill ya maji halikuwa dogo mzee..

200m sio mchezo, bado makandokando mengine!!!
 
... ila nashangaa ilikuwaje maana jamaa waliiteka kanda ya ziwa. Kiss FM ilikuwa yamoto sana miaka ile 2004-2009 huku RFA ndio balaa zaidi katika majiji yote nchini kuanzia MZA, DAR na hata Arachuga
Nadhani ni zama tu ndiyo zimefika mwisho.

Ukweli ulioaema hapo na hata sasa bado RFA ikipata mwekezaji thabiti itabamba sana, arachuga ina wasikilizaji wengi sana, kanda ya ziwa ndo kwao, nje ya nchi km kongo, ukienda kenya maeneo ya migori mpaka kericho - niliwa sikia watu wakitega sikio.

It was real super brand siyo kama hizi superbrand za kupewa ukumbini, but ndiyo hivyo 😢 chenye mwanzo kina mwisho.
 
Mkuu huyo Dialo ni kama Joe Kusaga tu, wote wanasimamia mali za familia ila Kusaga yeye kajiongeza nasikia ana mkono wake huko Usafini, kuliko huyu Msukuma mwenzangu
 
Hizi media ukuaji wa social media umeziua na ili zisife zinahitaji ubunifu mkubwa sana hasa kutumia mitandao ya kijamii pia. Mfano Clouds na Wasafi social media zinabeba mpaka media zao.

Tatizo kuna media ziko slow sana kubadilika. Mfano naona mzigo uliopo kwenye magazeti ya Tumaini letu! Imefikia hatua haya magazeti yanauzwa kwa lazima kwenye jumuiya kitu ambacho si sawasawa. Mambo yamebadilika vitu vingi vinapatikana mitandaoni! Hata magazeti makubwa yana struggle.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Radio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.

Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.

Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.

Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
Kumbe akina Millard wanaliwa
 
Kuna dada flani alikuwa nadhifu na yuko fresh sana kwenye kutangaza habari Star TV, ,alikuwa anaitwa Fatma Shemweta ,sijajua kama bado yupo Star TV au la ,kitambo sana sijaangalia Star Tv
 
Back
Top Bottom