AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

Mkuu wafanyakazi zaidi ya 400 wa sahara media wanadai mishahara tangia mwaka 2018.

Mwenyekiti na katibu wa maridhiano Wambura mtani na Alyoce Nyanda ndio wanaongoza kwasasa kwenye vikao kati ya wafanyakazi na mwajiri....Mgomo umeanza Jana baada ya kutofikia makubaliano.
Dah, mie nilikuwa mnazi sana wa Kiss FM ya kina Dee7, DJ Malis huku RFA marehemu nanii akiwa anakimbiza sana
 
Sahara ilichangia pakubwa kumnadi Magufuri kwenye kampeini za mwaka 2015 na ndo ilikuwa ikutumika na CCM kumchafua Lowasa.
Kingine sahara ilianza kuyumba baada ya Magufuri kiingia madarakani.
Kwel kabisa
 
Radio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.

Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.

Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.

Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
 
View attachment 2467673
Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi.

Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina nyingine ukipigwa non stop na hakuna matangazo, nilimpigia simu mdau wangu pale akanitonya kuwa ni mgomo umeamka tena, wafanyakazi hawana mshahara miezi kadhaa sasa.

Muite huyu mzee kijana

Pascal Mayalla atakuendeshea kwa ufanisi, kazi yako itakuwa kusuburi mrejesho kila mwisho wa mwaka.

Dialo anaogopa nini kuuza hivi vyombo au kuingia mkataba na wawekezaji?.
Jana nimeweka star tv nichek tarifa ya habari sa2 uck nakuta miziki ya dini tu sikuelewa.
 
Sahara ilichangia pakubwa kumnadi Magufuri kwenye kampeini za mwaka 2015 na ndo ilikuwa ikutumika na CCM kumchafua Lowasa.
Kingine sahara ilianza kuyumba baada ya Magufuri kiingia madarakani.
Malizia na wasafi fm na tv zilianzishwa na kustawi Magufuli akiwa madarakani
 
Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with diallo, Kwanza diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
Acha ubaguzi, huyo ni mzinza. Usidamganyike na jina la dialo, majina mengi afrika yanafanana
 
Back
Top Bottom