AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

Dialo sikujua km ni mpuuzi kiasi kile

Magufuli alimsaidia kwenye mkwamo kuokoa sahara media isifilisike

Magufuli alivyofariki akaitisha Sahara media kumtukana magufuli

Alijua kumtukana magufuli kutamfanya apendwe na samia

Samia amelitupa mbali lipambane na hali yake na limepokonywa uenyekiti wa ccm mkoa
Umeongea kinyume
 
Alikuwa mpiga debe mzuri wa ccm na ni kama wananchi wamesusa hiyo sahara,, wananchi wakiamua kukupoteza unapotea vibaya mno japo inaweza kuonekana ni km hawana nguvu hiyo
Wananchi hawajawahi kuua media, ni waongeaji tu

Wanasemaga wanasusia TBC, duru zinaonyesha inatazamwa zaidi

Huwezi kuacha kupata kitu unachopenda kupata kisa siasa...

Diallo madeni yake binafsi tu
 
Dialo sikujua km ni mpuuzi kiasi kile

Magufuli alimsaidia kwenye mkwamo kuokoa sahara media isifilisike

Magufuli alivyofariki akaitisha Sahara media kumtukana magufuli

Alijua kumtukana magufuli kutamfanya apendwe na samia

Samia amelitupa mbali lipambane na hali yake na limepokonywa uenyekiti wa ccm mkoa
Ktk hata maisha ukimtenda mtu ubaya aliyekupa wema utalipwa vzr tu Sasa acha alipwe
 
Sasa hizi Media si huwa wanapewa tender za matangazo na makampuni. Ina maana Media kama Wasafi ilivyo na matangazo ama Clouds Media group halafu waseme hela za kulipa wafanyakazi hawana si vituko hivyo.
Matangazo ya uhakika ni ya serikali ambayo pia huyatoa kwenye vyombo vyake. Mtangazo mengine no machahe ukilinganisha na wingi w vyombo vya habari ndio maana vyombo binafsi vinakosa hela. Labda wafanye kazi ya kuandika miradi wapate hela za wafadhili.
 
Sema redio ikiwa haina maajabu na wasikilizaji wengi inakuwa hovyo ila nashangaa ilikuwaje maana jamaa waliiteka kanda ya ziwa. Kiss FM ilikuwa yamoto sana miaka ile 2004-2009 huku RFA ndio balaa zaidi katika majiji yote nchini kuanzia MZA, DAR na hata Arachuga
Bazil mbakile Kiss Fm
 
Back
Top Bottom