Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Magazeti na radio kwa sasa siyo biashara. Ni kama ilivyo kwa sinu za mezani. Hata TV nazo zinachehemea sana.Biashara ya redio na TV kwa sasa ni ngumu mno. Hakuna TV wala radio station wanaokula bata. Labda vyombo vya habari vya serikali tu. Huku kwingine mambo yashaharibika kufuatia ukuaji wa social media. Watangazaji na waandishi wa habari wa magazeti hulipwa hela kidogo.