AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

Hizi media ukuaji wa social media umeziua na ili zisife zinahitaji ubunifu mkubwa sana hasa kutumia mitandao ya kijamii pia. Mfano Clouds na Wasafi social media zinabeba mpaka media zao.

Tatizo kuna media ziko slow sana kubadilika. Mfano naona mzigo uliopo kwenye magazeti ya Tumaini letu! Imefikia hatua haya magazeti yanauzwa kwa lazima kwenye jumuiya kitu ambacho si sawasawa. Mambo yamebadilika vitu vingi vinapatikana mitandaoni! Hata magazeti makubwa yana struggle.



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Clouds kinacho waweka hai n content creation. Wanajua kutengeneza trend news. Fuatilia wanavyo Nadi vipind vyao na hii ndo inapelekea kuto kaukiwa wasilizaji na matangazo lukuki huku waki piga pesa za mchongo na vi event vyao uchwara pesa inapatikana mbali na hayo ndo media inayo uza airtime kwa bei ghali sna kwa sasa hasa redion.

Hiyo fiesta mbali na kukosa mvuto bado wadah wanao idhamin n wengi na inawaingizia kiasi halafu wafanyakaz wa pale hawabanwi na wanaruhisiwa kutangaza biashara zao pale bure kabisa
 
Ukifanya kazi Sahara media mwisho wa mwezi unapewa debe la mahindi na sado 3 ya maharage ili ujikim hela hamna
 
Millard ni mfanyabiashara Mzee. Clouds haiwez lipa bill zake. Hata hiyo uliyosema Huwa inasemwa
Yote 9 RFA kwangu Mimi ndo radio fm Bora kuliko hiz nyengine zinazo sifika hata startv bado ni bora.hapa tunangalia wakongwe ndiyo.siyo wajuz,Kama unawakumbuka akina Fredwaa marehem Jumaaa Ahmed baragaza walitoka hapo .Azam Kuna watu watoka startv na RFA.kwahyo hiyo chombo naikubali sanaaa tu.Mzee ajipange vzur ili malipo mazuri kwa wafanyakazi yaboreshwe.NA RUDI KWA DALALI MKUU INA MAANA HUNIJARI TENA MAWAZO YANGU KWAKO HUYAKUMBUKI. nakumbuka uliomba connection kwaajili ya Viatu vya misaada kwa watoto yatima🤔
 
JOHN ANAPATIKANA LAKINI YUPO BIZE SANA SIM YAKE HAPOKEI KABISA PIA MWANZONI ALINAMBIA MLIONANA MKUU SASA MIMI HUKU SIJUI. NA ULISEMA PM YAKO MBOVU. NILIKWAMBIA TIBA YAKE NI KUINSTOLU UPYA MKUU.
 
Hilo la watangazaji wa redioni kujirudia wale wale kwa siku nzima nimeliona sana! Ila sikujua shida ni nin, kumbe ndo hivi tena!
 
JOHN ANAPATIKANA LAKINI YUPO BIZE SANA SIM YAKE HAPOKEI KABISA PIA MWANZONI ALINAMBIA MLIONANA MKUU SASA MIMI HUKU SIJUI. NA ULISEMA PM YAKO MBOVU. NILIKWAMBIA TIBA YAKE NI KUINSTOLU UPYA MKUU.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Millard ni mfanyabiashara Mzee. Clouds haiwez lipa bill zake. Hata hiyo uliyosema Huwa inasemwa
Ingekua hivyo unavyo sema basi angefungua redion yake. Lakin mpaka Leo anakinga mikono mwisho wa mwez ka kusaga[emoji706]
 
View attachment 2467673
Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi.

Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina nyingine ukipigwa non stop na hakuna matangazo, nilimpigia simu mdau wangu pale akanitonya kuwa ni mgomo umeamka tena, wafanyakazi hawana mshahara miezi kadhaa sasa.

Muite huyu mzee kijana

Pascal Mayalla atakuendeshea kwa ufanisi, kazi yako itakuwa kusuburi mrejesho kila mwisho wa mwaka.

Dialo anaogopa nini kuuza hivi vyombo au kuingia mkataba na wawekezaji?.
Mmiliki ali bankrupt hapo nyuma baada ya kutikiswa na sisiem... Inasemekana alikopa 400mil bank moja hapa nchini jina sitoitaja, kwa ajili ya kuendeleza biznes ila ndo ivo tena biashara ina mengi kuna kupata zaidi au kujikuta unafanyia kazi mkopo tu.. Hzi nilizipata chini ya carpet moja wapo
 
Mbona wapenzi wa redio wanasikiliza kama kawa. Amka BBC, DW mchana
Vipindi vya radio ni tofauti na TV mkuu na hata uongozi ni tofauti, uendeshaji wa television pia ni gharama ukilinganisha na radio, Hivi ujue ukiwa pale sahara media group Star TV, RFA, Kiss FM wote wako jengo moja tofauti ni vyumba tu isipokua continental ndo wapo pembeni kidogo wanajitegemea majengo ila hizi ofisi zote zina uongozi unaojitegemea, kama wewe unafanya kazi RFA ukitaka kuingia Kiss FM lazima uandike barua ya ruhusa uongozi wa Kiss FM waku approve ndo uingie sio kuingia ingia tu hovyo japokua studio ni pua na mdomo na kampuni moja.. Sema sikuiz naona hawaizingatii sana...
 
Hivi hii kitu bado ipo
Jmosi nilikuwa sikosi top30 ya hamilton
Daah! wAYBACK hiyo siku hizi hakuna radio bongo wanajiunga nao wahusika... ilkua inarushwa na Radio Express ya USA ndo walikua wanajiunga na Kiss FM ikidhaminiwa na Coca-Cola program yao ya Open Happiness 2009 hiyo.. Ila kama una bado unaweza kukisikiliza online kupitia KIIS 102.7 FM, L.A huwa kipo kila Jmos jioni hivi...

 
Nilichoelewa hapa kumbe Sahara media iliyo chini ya bw Diallo ndo inayomiliki Kiss fm, RFA na Star TV, sio? [emoji848]
Nipo tayari kurekebishwa na kueleweshwa zaidi
Na continental
 
Back
Top Bottom