Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah, mie nilikuwa mnazi sana wa Kiss FM ya kina Dee7, DJ Malis huku RFA marehemu nanii akiwa anakimbiza sanaMkuu wafanyakazi zaidi ya 400 wa sahara media wanadai mishahara tangia mwaka 2018.
Mwenyekiti na katibu wa maridhiano Wambura mtani na Alyoce Nyanda ndio wanaongoza kwasasa kwenye vikao kati ya wafanyakazi na mwajiri....Mgomo umeanza Jana baada ya kutofikia makubaliano.