AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

Wenye media zao wanatakiwa wabadilike na mabadiliko ya teknolojia.
Wakitaka ku survive wajiongeze sana kwa kubuni products mpya kadri ya mahitaji ya jamii

Wakisema wakae kimya au walalamike tuu wamekwisha
Ni kweli, wanahitaji management inayobadilika na wakati
 
Tangia jana naona wanarusha matangazo yao ,hawapigi tena muziki mfululizo...Naona mgomo kama umekwisha.
 
Ingekua hivyo unavyo sema basi angefungua redion yake. Lakin mpaka Leo anakinga mikono mwisho wa mwez ka kusaga[emoji706]
lakini pia ujue Platform zake zinamlipa kuliko kusaga anavyomlipa. pale yupo kwa heshima ya kusaga tu. millard kupitia platform zake anaingiza zaidi ya million 50 kwa mwezi. ulizia tu kupost picha kwenye page yake kwa saa 24 si chini ya laki nane
 
Kipindi kile kulikuwa na tracks za ukweli wasanii walikuwa kwenye ubora wao
Sahv hawa madogo sidhan kama ntaweza kuwasikiliza 😃
 
Ukweli ni kwamba mimi binafsi nilikuwa addicted na RFA na kiss FM .
Sasa hivi watangazaji wengi hawana uelewa wanafaa kutangaza vigodoro tu.
Kulikuwa na akina Zuberi Msabaha huyu mwamba anazijua hasa nyimbo za kicongo kali, achana na hawa wanaopiga zinazovuma hata kama si kali.

Kiss FM ulisikia miziki mikali achana na hizi zinazovuma kwa sababu zimepigwa na zuchu,diamond na wengine kama hao,huwa natamani niwe kiziwi kila zikipigwa.
Utangazaji ni akili sio kuongea tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
NStar Tv na redio ina watangazaji wazuri sanaaa wana vipaji na sauti zilizotulia sema ndo hivyo muajiri anawazingua
 
Kwan hujui Millard ayo.com ni kama tv kabisa. Sema tu ipo mtandaon YouTube tu anapata s chin ya 10M Kwa mwez ana reporter's nchi nzima ana studio yake ya kisasa na NDipo anapotangazia kipind chake Cha amplifier Wala clouds haendagi.

Pia ni mabalozi wa makampuni makubwa ambayo Kwa mwezi tu anaingiza zaidi ya 15M.

Pia ana matangazo mengi kuliko hata ITV.
YULE Sio mwenzio kabisa.
GSM,ayosophia,Tigo na Jembe hayo makampuni tu ambayo ni baadhi tu kati ya company nyingi ambazo yeye n balozi zinamlipa mara kumi ya mshahara anaokinga pale clouds
 
Eti AIBU!!! Ww n yeye nani anapaswa kuona aibu?
 
Hatari sana, narudia kusema jamaa atafute investor na aingie ubia, otherwise usipotokea muujiza itakuwa haibu.
 
Naona kuna mgomo tena tangia asubuhi ni muziki kwenda mbele! Inasikitisha sana! Hakuna kipindi cha Ushauri wako ,Je wajua ,Sitosahau ,Duniani wiki hii.
 
Naona kuna mgomo tena tangia asubuhi ni muziki kwenda mbele! Inasikitisha sana! Hakuna kipindi cha Ushauri wako ,Je wajua ,Sitosahau ,Duniani wiki hii.
Sio dialo tu media zote ni shida makampuni yameamia kwenye mitandao media nyingi zimeshidwa kuenenda na technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…