Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

Kama sijasahau wewe ulikua unatuimbia humu Ukraine sasa watapigwa hadi Kiev, naona Mrusi bado amehemea Bakhmut, imeishiwa kabisa licha ya usadizi wa maustadhi na kote, sasa ikitokea NATO inatia guu pale si ndio Urusi itafutika.

Kituo cha mwisho ni Kyiv 😎😎😎
 
Ukraine anapata msaada kutoka wapi?
Sasa rusia kuomba msaada toka kwa walemavu na hilo unataka kuona ni mlingano na msaada anaopewa Ukreine!
Unatumia kiungo gani kutafakari kisha kuandika na kupost??[emoji101][emoji101]
 
Hii vita inapiganwa ndani ya Ukraine, nadhani unaelewa hilo.

Huyu Urusi tuliyeaminishwa ni supapawa, ambaye alikua tegemeo la waarabu na dini yao, leo anashindwa kufumua kataifa jirani hapo, mwaka mzima anazunguka kwenye tumiji twa huko sijui wapi, ni kama uaminishe watu utaifumua Tanzania ila mwaka unaisha bado unang'ang'ania Katavi.....
 

Hehehe!!! Kwa ambavyo mlijipiga kifua, nilijua wale mateja 300,000 watafanya cha maana, mumeishia kung'ang'ania na kuhemea huko.
 
Propaganda za asubuhi baada ya kushiba chai wali maharage kiporo
 
Taifa jirani lipi, wakati Urusi anapiga na nchi zaidi ya 30 pamoja na US baba yao, juzi tu hapa mwanajeshi mstaafu wa US amekufa wakati ana ipambania Ukraine uwanja wa vita , ebu kadanganye watoto kuwa Urusi anapigana na Ukraine pekee
 
Ila Ukraine ikipata msaada toka kwa mabeberu sio aibu au sio?
 
Hehehe Napenda unavyofatilia kwa sipidi kali, siwaangushi nyie mashabiki zangu...
Oya hukwenda kupanga foleni kupokea sembe kutoka kwa Eric Omondi?
 
Urusi hali ni mbaya sana think tank wa Russia hawapo tena wamebaki watu ambao hawaoni mbele, sisi tuko tayari kuwashabikia but hatoweza kurudisha himaya ya Soviet kamwe na asipokaa vzr Russia kwenyewe kitamegwa tena vipande vipande, achana na watu wenye akili bwana
 
Yie watu siwaelewi, urusi haijapeleka askari wake hata mmoja frontline, haijapeleka silaha za maana frontline, askari wenye weledi bado wametulia kabisa. Mnaohangaika nao ni wanamgambo waliofundiahwa wiki moja kulenga shabaha then wakaenda. Ndo wawatoa makamasi NATO
 
Acha utoto uwa sipendagi ubishi ambao ni sawa na ujinga ok, wewe chizi tafuta mtoto mwenzio mkabishane ok

Level yako ni ya chini na tayari nimeshajua kila kitu from you nikutakie usiku mwema Lt. Col. Holly Star wa jeshi la Russia kamandi ya kusini ndani ya nchi ya Ukraine

Nisamehe kwa maneno makali, mimi uwa sipendagi ligi za ndondo make sio level yangu mie ok
 
Anapigana na mashoga wote wa NATO unategemea itakuwa rahisi?
 
Mtu anyeshabikia urusi lazima ni gaidi..
 
Yaani ww ndio hujui kabisa maana ya Vita. Tafsiri ya Vita ni washirika.
Nikusaidie hapa URUSI+SYRIA+INDIA+CHINA+KOREA KASKAZINI +IRAN+ AFGANISTAN+BERALUS+PARESTINA KWA NAMNA FLANI WAISAIDIA URUSI HATA KWA MAWAZO KTK VITA NA MASHOGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…