Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

hao mnaoishi nao vizuri ni kwa vile hawafuati maandiko yao, siku wakiamua kuyafuata mtakoma, wenzao kwingine wanayafuata na kuchinja wakristo

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Gaidi kwa mmoja mpiganja uhuru kwa mwengine.

Nyie Wakenya hata Mandela mlisema ni gaidi, kwa ajili ya maslahi ya mabwana zenu.

Hata Ruto baada ya kuja mabwana zenu kaachia muoane wanaume kwa wanaume, vipi wewe, hujaolewa bado?
 
Bibi leo naona umeona ujiunge kuwasaidia maustadhi humu...heheh karibu ila huu muziki wa Ukraine samahani tegemezi la waarabu wenu limeshindwa...
 
Hapo Urusi hajaomba msaada kaamua kuajiri vijana wa kazi. Kama wewe unavyoweza kuajiri house boy hapo kwako, ili akusaidie kulisha mifugo na kutunza mazingira wakati ukiendelea na shughuli zibgine za ujenzi wa taifa.
 
Kaishiwa wanajeshi 140,000 hiyo ni mara nne ya idadi ya JWTZ na mpaka sasa anahemea kwenye kamji ka huko sijui wapi
 
Wakenya mlijidai ujanja Putin akawaambia nini, umesahau?

Pambana bibi maustadhi wamelemewa humu, hivi wewe nani hukupa ruhusa ya kupambana na wanaume humu, maana kwenye dini yenu manamke huonwa kama takataka asiyepaswa kuongea chochote hehehe
 
Pambana bibi maustadhi wamelemewa humu, hivi wewe nani hukupa ruhusa ya kupambana na wanaume humu, maana kwenye dini yenu manamke huonwa kama takataka asiyepaswa kuongea chochote hehehe
Ndivyo ulivyodanganywa.

Uislam umekuja kukomboa walimwengu wote. Nyie ndio mnawafanya wanawake mali zenu.
 
Mtu anyeshabikia urusi lazima ni gaidi..
Mimi natamani urusi ashinde hio vita hata Leo,,na Hezbollah kwa mara ya kwanza nimewaheshimu.Hio recruitment naamini itazaa matunda.Napenda sana watu wenye mipango.Nchi za magharibi zimejizania kuuwa Soviet union ndio ilikuwa mwisho kumbe wapo watu Bado wanajiuliza ilivunjikaje na kwanini!!! Hii vita mda utatuambia TU.
 
Watu tunatofautiana sana.

Wengine tunafikiria, Kupanda kwa gharama za maisha, kupanda kwa bei za vyakula.

Tunafikiria mahangaiko, mateso na vifo vya raia wasio na hatia wa Ukraine, tunafikiria pia vitisho vya nyukilia na uwezekano wa kutokea kwa vita vya dunia. Kumbe mwenzetu wewe upo tu kushangilia Soviet union! Hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…