Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

Jaribu kuacha upumbavu. Na Saudi Arabia anayepeleka misaada Ukraine aitwaje?

Ndio muanze kujifunza, kama muarabu mwenye dini yake ameanza kutia akili kuhusu hili suala, nyie wafuasi bado mumejitia upofu na kuaminishana vitu vya hovyo death to Americans...death to Israel.
 
Ila we jamaa unaongea kama Layman kabisa ! kwa akili yako Russia inapigana na Ukraine pekee yake??

husikilizi hata habari,, foreign millitary huwa husikiii taarifa za vifo vyao na vifo vya ukraine??
Ni ujuha au nn
 
Mnawashobokea mkidhani mnakomoa Marekani..
Kwa hiyo wewe hicho ndicho kinachokuuma mpaka unawatukana maustadh na dini yao kutwa kuanzisha thread si ndio,, na je wale wakristo wanaowasapoti urusi nao unawaweka kundi gani? Jitafakari I'd fake zisikufanye ukawe na matusi na kejeli kwa imani nyingine na hata hiyo dini yako yenyewe sidhani kama inaruhu hayo unayofanya,,, yani wewe thread zako zote matusi, kashfa na kejeli dhidi ya uislam na waislam hata kama hazihusiani kabisa na mambo ya dini,,, sikufundindishi hapana ila sie wenzako Tanzania hatuishi kwa chuki kama yako,, jitafakari,,,
 
Ila we jamaa unaongea kama Layman kabisa ! kwa akili yako Russia inapigana na Ukraine pekee yake??

husikilizi hata habari,, foreign millitary huwa husikiii taarifa za vifo vyao na vifo vya ukraine??
Ni ujuha au nn

Hamna taifa lingine limetia guu pale, NATO ikijiunga kwenye haya mapambano muisahau Urusi.
 
Hamna sehemu nimewatukana, ila nimewaambia ukweli ambao huwa hamtaki muambiwe jinsi mlivyo na laana.
 
Kama kweli Mkristo utakua na kasoro kushabikia Urusi kuiba ardhi ya watu wa Ukraine na kuwaua, aidha utakua umezungukwa na hao wafia dini hadi wamekuambukiza laana yao.
Ila Marekani akivamia na kuharibu nchi nyingine na wewe unashabikia tukuitaje??

Isreal ambaye ndiye mwenye dini mbona yeye hana shida Russia kuvamia Ukraine??
 
Ila Marekani akivamia na kuharibu nchi nyingine na wewe unashabikia tukuitaje??

Isreal ambaye ndiye mwenye dini mbona yeye hana shida Russia kuvamia Ukraine??

Lini Marekani amevamia nchi yoyote na kujimegea ardhi na kuita sehemu ya Marekani, mtu yeyote anayeshabikia huu udhalimu lazima awe ana mihemko ya kidini maana haileti mantiki, wengi mumeshikiliwa akili na kupofushwa hata hamjielewi mnachosema au kuandika.
Urusi imeingia Ukrane na kuua watu na kujimegea ardhi na kuita sehemu ya Urusi......hapo hamna mbadala....ni udhalimu
 
Yeye alikuwa akiyafanya hayo hizo karne zilizopita. Ndio maana tayari Texas kuna vuguvugu la kutaka wapewe nchi yao wawe huru. We wa wapi wewe?
 
Mbona Ukraine wanapata misaada kutoka kwa magaidi wa Marekani na ulaya🤔
 
Mkuu labda naomba unieleweshe,,vita inapiganwa urusi na Ukraine mbali kabisa huko,,,inaathiri vipi upandaji wa mazao Huku kwetu umalila,,mbarali,,mpanda,,ulanga,,ifakara,,kilombero nk mpaka Michele,,maharage,,Nazi,,nyanya na vitunguu vipande Bei?
 
Yeye alikuwa akiyafanya hayo hizo karne zilizopita. Ndio maana tayari Texas kuna vuguvugu la kutaka wapewe nchi yao wawe huru. We wa wapi wewe?

Hehehe umeona mlivyopotoka, yaani mifano mnayotumia kutetea anachofanya Urusi inaonyesha kama ambao mumepagawa aisei....
 
Mbona Ukraine wanapata misaada kutoka kwa magaidi wa Marekani na ulaya🤔

Ukraine sio supapawa, ni kainchi kadogo jirani ya Urusi kameingiliwa na supapawa tegemezi la waarabu.
 
Mkuu labda naomba unieleweshe,,vita inapiganwa urusi na Ukraine mbali kabisa huko,,,inaathiri vipi upandaji wa mazao Huku kwetu umalila,,mbarali,,mpanda,,ulanga,,ifakara,,kilombero nk mpaka Michele,,maharage,,Nazi,,nyanya na vitunguu vipande Bei?
Mbolea na mahindi yanatoka Ukraine.
 
Kaka yangu MK254 punguza mahaba Ukraine anapigika fuatilia habari kwa kina acha kuokota okota habari za vijiweni
 
Kaka yangu MK254 punguza mahaba Ukraine anapigika fuatilia habari kwa kina acha kuokota okota habari za vijiweni

Mnachekesha sana....mumeimba huu wimbo tangu ule msafara wa kwenda kuiteka Kyev.
 
Hujui usemalo. Lau ungesema Iran ningekuelewa. Hao uanosema, kama wayahudi ni ombaomba wa kawaida wanaofadhiliwa na Iran
 
Hujui usemalo. Lau ungesema Iran ningekuelewa. Hao uanosema, kama wayahudi ni ombaomba wa kawaida wanaofadhiliwa na Iran

Iran kwa sasa hawezi kufanya lolote, kapigwa mikwara na pini kali, kumbuka mbabe wake ni Israel hivyo hatupi shida.
 
Iran kwa sasa hawezi kufanya lolote, kapigwa mikwara na pini kali, kumbuka mbabe wake ni Israel hivyo hatupi shida.
Hujui usemalo. Kaulize au katafiti uone drones inazotumia Urusi kuiumiza Ukraine zinatoka wapi? Nani ampige Iran pini wakati wazungu wanahaha kusaka wese na gesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…