Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuacha upumbavu. Na Saudi Arabia anayepeleka misaada Ukraine aitwaje?
Huyu Urusi tuliyeaminishwa ni supapawa, ambaye alikua tegemeo la waarabu na dini yao, leo anashindwa kufumua kataifa jirani hapo, mwaka mzima anazunguka kwenye tumiji twa huko sijui wapi, ni kama uaminishe watu utaifumua Tanzania ila mwaka unaisha bado unang'ang'ania Katavi.....

Kwa hiyo wewe hicho ndicho kinachokuuma mpaka unawatukana maustadh na dini yao kutwa kuanzisha thread si ndio,, na je wale wakristo wanaowasapoti urusi nao unawaweka kundi gani? Jitafakari I'd fake zisikufanye ukawe na matusi na kejeli kwa imani nyingine na hata hiyo dini yako yenyewe sidhani kama inaruhu hayo unayofanya,,, yani wewe thread zako zote matusi, kashfa na kejeli dhidi ya uislam na waislam hata kama hazihusiani kabisa na mambo ya dini,,, sikufundindishi hapana ila sie wenzako Tanzania hatuishi kwa chuki kama yako,, jitafakari,,,Mnawashobokea mkidhani mnakomoa Marekani..
Ila we jamaa unaongea kama Layman kabisa ! kwa akili yako Russia inapigana na Ukraine pekee yake??
husikilizi hata habari,, foreign millitary huwa husikiii taarifa za vifo vyao na vifo vya ukraine??
Ni ujuha au nn
Kwa hiyo wewe hicho ndicho kinachokuuma mpaka unawatukana maustadh na dini yao kutwa kuanzisha thread si ndio,, na je wale wakristo wanaowasapoti urusi nao unawaweka kundi gani? Jitafakari I'd fake zisikufanye ukawe na matusi na kejeli kwa imani nyingine na hata hiyo dini yako yenyewe sidhani kama inaruhu hayo unayofanya,,, yani wewe thread zako zote matusi, kashfa na kejeli dhidi ya uislam na waislam hata kama hazihusiani kabisa na mambo ya dini,,, sikufundindishi hapana ila sie wenzako Tanzania hatuishi kwa chuki kama yako,, jitafakari,,,
Ila Marekani akivamia na kuharibu nchi nyingine na wewe unashabikia tukuitaje??Kama kweli Mkristo utakua na kasoro kushabikia Urusi kuiba ardhi ya watu wa Ukraine na kuwaua, aidha utakua umezungukwa na hao wafia dini hadi wamekuambukiza laana yao.
Ila Marekani akivamia na kuharibu nchi nyingine na wewe unashabikia tukuitaje??
Isreal ambaye ndiye mwenye dini mbona yeye hana shida Russia kuvamia Ukraine??
Yeye alikuwa akiyafanya hayo hizo karne zilizopita. Ndio maana tayari Texas kuna vuguvugu la kutaka wapewe nchi yao wawe huru. We wa wapi wewe?Lini Marekani amevamia nchi yoyote na kujimegea ardhi na kuita sehemu ya Marekani, mtu yeyote anayeshabikia huu udhalimu lazima awe ana mihemko ya kidini maana haileti mantiki, wengi mumeshikiliwa akili na kupofushwa hata hamjielewi mnachosema au kuandika.
Urusi imeingia Ukrane na kuua watu na kujimegea ardhi na kuita sehemu ya Urusi......hapo hamna mbadala....ni udhalimu
Mbona Ukraine wanapata misaada kutoka kwa magaidi wa Marekani na ulaya🤔Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon
Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian residents of Lebanon to join the ongoing conflict in Ukraine, according to a security source in the Lebanese government via The Media Line on Monday.
The source also stated that individuals connected to the Palestinian embassy in Beirut are leading the recruitment drive.
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon, located close to the port city of Sidon.
According to reports, the recruits are affiliated with the Popular Front for the Liberation of Palestine and the Fatah political movement, which Mahmoud Abbas - the president of the Palestinian Authority - leads. According to reports, the individuals consent to participate in the fight in Ukraine on behalf of Russian forces in exchange for a monthly stipend and benefits for their families.
According to the Lebanese security source, the Hezbollah terrorist organization - which has bases in Lebanon and receives support from Iran - coordinates the recruitment of Palestinians and other people. The source also claimed that Hezbollah is aggressively recruiting young supporters to aid Russia in the conflict in Ukraine, especially those proficient at operating drones and those knowledgeable in guerrilla warfare in urban settings.
i24NEWS
www.i24news.tv
Mkuu labda naomba unieleweshe,,vita inapiganwa urusi na Ukraine mbali kabisa huko,,,inaathiri vipi upandaji wa mazao Huku kwetu umalila,,mbarali,,mpanda,,ulanga,,ifakara,,kilombero nk mpaka Michele,,maharage,,Nazi,,nyanya na vitunguu vipande Bei?Watu tunatofautiana sana.
Wengine tunafikiria, Kupanda kwa gharama za maisha, kupanda kwa bei za vyakula.
Tunafikiria mahangaiko, mateso na vifo vya raia wasio na hatia wa Ukraine, tunafikiria pia vitisho vya nyukilia na uwezekano wa kutokea kwa vita vya dunia. Kumbe mwenzetu wewe upo tu kushangilia Soviet union! Hongera.
Yeye alikuwa akiyafanya hayo hizo karne zilizopita. Ndio maana tayari Texas kuna vuguvugu la kutaka wapewe nchi yao wawe huru. We wa wapi wewe?
Mbolea na mahindi yanatoka Ukraine.Mkuu labda naomba unieleweshe,,vita inapiganwa urusi na Ukraine mbali kabisa huko,,,inaathiri vipi upandaji wa mazao Huku kwetu umalila,,mbarali,,mpanda,,ulanga,,ifakara,,kilombero nk mpaka Michele,,maharage,,Nazi,,nyanya na vitunguu vipande Bei?
Hujui usemalo. Lau ungesema Iran ningekuelewa. Hao uanosema, kama wayahudi ni ombaomba wa kawaida wanaofadhiliwa na IranSupapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon
Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian residents of Lebanon to join the ongoing conflict in Ukraine, according to a security source in the Lebanese government via The Media Line on Monday.
The source also stated that individuals connected to the Palestinian embassy in Beirut are leading the recruitment drive.
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon, located close to the port city of Sidon.
According to reports, the recruits are affiliated with the Popular Front for the Liberation of Palestine and the Fatah political movement, which Mahmoud Abbas - the president of the Palestinian Authority - leads. According to reports, the individuals consent to participate in the fight in Ukraine on behalf of Russian forces in exchange for a monthly stipend and benefits for their families.
According to the Lebanese security source, the Hezbollah terrorist organization - which has bases in Lebanon and receives support from Iran - coordinates the recruitment of Palestinians and other people. The source also claimed that Hezbollah is aggressively recruiting young supporters to aid Russia in the conflict in Ukraine, especially those proficient at operating drones and those knowledgeable in guerrilla warfare in urban settings.
i24NEWS
www.i24news.tv
Hujui usemalo. Lau ungesema Iran ningekuelewa. Hao uanosema, kama wayahudi ni ombaomba wa kawaida wanaofadhiliwa na Iran
Hujui usemalo. Kaulize au katafiti uone drones inazotumia Urusi kuiumiza Ukraine zinatoka wapi? Nani ampige Iran pini wakati wazungu wanahaha kusaka wese na gesi?Iran kwa sasa hawezi kufanya lolote, kapigwa mikwara na pini kali, kumbuka mbabe wake ni Israel hivyo hatupi shida.