Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Polisi wajiweke mbali na haya mambo madogomadogo,hatakama wanapewa oda,wawe wanahoji.Hii inawachafua sana,halafu mwisho wa siku,viongozi haohao wanaotoa oda,wanakuja wanaanza kuwafokea mbele ya kadamnasi.Wajirekebishe, ikiwezekana hata kuijuzulu,ukiona unachoamriwa ni cha kijinga.
Mshahara inasemekana ni mdogo,kikokotoo kinawaimiza,halafu na watu wengine wawatumie kwa maslahi yao kweli?
PT,amkeni.
🤣🤣🤣🤣 umeandika AMKENI.... ni kauli ya kihaini🤣🤣🤣
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Mtalia lia sana.
 
Ivi Kibatala bado yupo,sijamsikia muda mrefu kidogo
Yupo na juma hili alikua mahakamani kwenye kesi ya billionaire Msuya! Na atakuwepo mbeya kitu ambacho pia kimekasirisha polisi baada ya konesha Nia ya kujumuika na mawakili wa utetezi, hii imetolewa na camera fiche ikionesha manung'uniko yao mana walidhani atashindwa kijigawa DSm na Mbeya! Akili zao zilivyo fupi hawajui pia mahakama inaweza kujiendesha Kwa njia ya mtandao, na hakuna sehemu mbali duniani hivi sasa
Elimu Elimu Ufahamu na Maarifa
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Ngoma ya kitoto haikeshi
 
we zuzu unaamini huu ujinga na uzushi, hakuna polisi anayeweza kufanya hivyo. Mwabukusi amefanya mabo hayo mwenyewe apambane na hali yake waistafute huruma ya umma, washenzi kabisa wakanyee ndoo huko wakisubiri adhabu inayowastahili, halafu sikujua km wanyakyusa ni wapumbavu hivi. Mara wamlete chifu wa mchongo, mara sijui askofu wa mchongo, nyie ni wachovu tu hakuna mnaloweza kufanya nyau nyie. Kwanza bandari ya Dar Es Salaam inawahusu nini wenye bandari yao wamekaa kimya, nyie mwawashwa na nini. Ndio maana ule mji wa Mbeya bado wa kishamba sana. Watu wa hovyo wasio na adabu, mnataka kushindana na seriklai nyie nyau, kenge wakubwa mnatuchosha na upumbavu wenu.
Huwezi kuingia Insta bila password.Na ukikosea kuna masawali yanakujia,ulishindwa kujibu wanaizuia account.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz

Daaah yaani Polisi kwa kufanya huo upuuzi basi kesi ishakwisha hapo.
 
Nimekumbuka yale ya kesi ya ugaidi wa mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeanza kuona sura zao halisi sasa kulikuwa na umuhimu gani kujiita awamu ya sita? Haya ni manyunyu tu tusitegemee kabisa uchaguzi wa haki 2025.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
La bandari limeisha sasa na mjadala umehamia Mahakamani tu sasa.
We told you earlier kwamba tuachane na hii bandari na agenda wanazotuanzishia CCM kwa sababu issue ya bandari mtake msitake ilishaisha. Tulishauri tukomae na katiba mpya haya mengine tutayakuta mbeleni. Mkashupalia bandari bandari bandari. Sasa oneni wenye bandari yao washafanya yao huku nyuma wamewaachia vumbi la kuhangaika kiguu na njia Mahakamani.
 
Back
Top Bottom