Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Dr Slaa naye amedukuliwa?
Mdude je?
Kinachodukuliwa kwenye simu ni kile kilichomo mfano wa simu ya Napii na Merope wakati wa bwana Chattle. Hata hivyo hiyo ndiyo kazi ya polisi.
Hivyo asitafute huruma ya wananchi (siyo Yanga) bali apambane na hali yake
Hujasikia kwamba wanataka sample ya sauti ya Dr Slaa , kama wanayo hii nyingine wanaitaka ya nini ?
 
Na tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
ndiyo hapo wanataka kutufanya watanzania wote hatuna akili? wacha wajichanganye tu na huyoi wakili naye anafaa kukamatwa aungane na hao wahaini aielezee police wapi imedukua
 
Kama ni kweli Mwenyezi ataamua ugomvi huo very soonest.

Matendo ya Mungu yatisha kama nini [emoji123]
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Walaaniwe wadukuzi wote! Tena nasema walaaniwe na siku zao ziwe chache Zaburi 109:8
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Wamedukua mpaka sauti zao?
 
Maudhui hayo si yamerushwa mtu akiwa ndani? Au wamebadili na tarehe?
 
Umesahau wakati wa kesi Mh. Mbowe, kwenye vielelezo Kuna simu ilionekana bado Ina chaji pamoja na kuwa mikononi mwa polisi zaidi ya miezi nane. Kazi ya upolisi na ualimu Serikali ilipuuza sana vigezo vya kujiunga na Taasisi hizo.
 
Naona mmeamua kujifariji na kujiliwaza na wenzako Slaa hata muweke mawakili 20,000 hachomoki hapa ni uhuru tu ya Rais.
Kwa mahakama hizi za kangaroo hilo linawezekana.
 
Polisi wa kibongo hawana ujanja wa kuwazidi akili Meta.

Instagram ina ulinzi mkali kuliko hata system za mabank yetu nchini
Eti nasikia hadi finger print iliyotype simu husika huwa wanaisave, sijui wanafanya Je wenzetu.. Loh🤔
 
Back
Top Bottom