🤣🤣🤣🤣 umeandika AMKENI.... ni kauli ya kihaini🤣🤣🤣Polisi wajiweke mbali na haya mambo madogomadogo,hatakama wanapewa oda,wawe wanahoji.Hii inawachafua sana,halafu mwisho wa siku,viongozi haohao wanaotoa oda,wanakuja wanaanza kuwafokea mbele ya kadamnasi.Wajirekebishe, ikiwezekana hata kuijuzulu,ukiona unachoamriwa ni cha kijinga.
Mshahara inasemekana ni mdogo,kikokotoo kinawaimiza,halafu na watu wengine wawatumie kwa maslahi yao kweli?
PT,amkeni.
Itaschaje kuwa mbovu na elimu mtu aliishia 4m4 tena akalamba 0Ila Intelligence ya Polisi wa Kibongo ni mbovu mno.
Mtalia lia sana.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Yupo na juma hili alikua mahakamani kwenye kesi ya billionaire Msuya! Na atakuwepo mbeya kitu ambacho pia kimekasirisha polisi baada ya konesha Nia ya kujumuika na mawakili wa utetezi, hii imetolewa na camera fiche ikionesha manung'uniko yao mana walidhani atashindwa kijigawa DSm na Mbeya! Akili zao zilivyo fupi hawajui pia mahakama inaweza kujiendesha Kwa njia ya mtandao, na hakuna sehemu mbali duniani hivi sasaIvi Kibatala bado yupo,sijamsikia muda mrefu kidogo
Ngoma ya kitoto haikeshi
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Kesi ndio imeanza.Wacha wasekwe Lupango.Hamna namna , kesi imekwisha kabla haijaanza
Huwezi kuingia Insta bila password.Na ukikosea kuna masawali yanakujia,ulishindwa kujibu wanaizuia account.we zuzu unaamini huu ujinga na uzushi, hakuna polisi anayeweza kufanya hivyo. Mwabukusi amefanya mabo hayo mwenyewe apambane na hali yake waistafute huruma ya umma, washenzi kabisa wakanyee ndoo huko wakisubiri adhabu inayowastahili, halafu sikujua km wanyakyusa ni wapumbavu hivi. Mara wamlete chifu wa mchongo, mara sijui askofu wa mchongo, nyie ni wachovu tu hakuna mnaloweza kufanya nyau nyie. Kwanza bandari ya Dar Es Salaam inawahusu nini wenye bandari yao wamekaa kimya, nyie mwawashwa na nini. Ndio maana ule mji wa Mbeya bado wa kishamba sana. Watu wa hovyo wasio na adabu, mnataka kushindana na seriklai nyie nyau, kenge wakubwa mnatuchosha na upumbavu wenu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
Hongereni sana Makamanda kwa Kupambana na "Wahuni" waliojitwika madaraka.Atakuwepo Mbeya kwenye Kesi hii , tumekwishampatia tiketi ya ndege
Nimekumbuka yale ya kesi ya ugaidi wa mwamba
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Ccm wanataka form four failures ndo wawe polisi sasa unategemea nini??
Ameyakanyaga matacle yako.Mwabukusi "ameyakanyaga".
Polisi wajinga sana.pamoja na kudhalilishwa kila siku kwenye mikutano kuwa hawana akili wanatumia maguvu lakini bado yanajipendekeza tu kwa watawala?kweli hawa ni punguani
Binuka nikuzibue.Ameyakanyaga matacle yako.
Mikwala ya mitandaoni hiyona wao ni easy targets, tunawaona kila siku, ofisi zao ziko peupe, na wengine tunaishi nao.
waache tu waedelee kutumika na wakoloni weusi
ilo mbona rahisi mkuuNa tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
La bandari limeisha sasa na mjadala umehamia Mahakamani tu sasa.