Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Kwani kesi za kusingiziana zimeanza Leo .apambane na hali yake mwenyewe
 
Ila Intelligence ya Polisi wa Kibongo ni mbovu mno.
Inachekesha na kusikitisha sana. Jikumbushe ushaidi alioutoa Kingai katika kesi ya ugaidi alafu akalamba uteuzi wa kuwa DCI na majaji wa michongo kupatndishwa vyeo.. Unafikiri huyu mama anakotupeleka kuna neema kweli? Alafu eti baadae anakuja na upuuzi wa haki jinai🤣🤣🤣
 
Polisi wamesahau mara hii walivyodhalilika kwenye kesi ya mchongo ya ugaidi wa Mbowe
 
Naunga mkono hoja. CCM ni majizi yaliyokubuhu hivyo inahitajika kazi kubwa na ya akili nyingi kuwakabili kwani wanatumia mabavu ya vyombo vyote vya dola kuendelea kutawala kidhali,hizi hoja kudandia juu juu haziwezi kuwaondoa madarakani.
 
Tanzania inaongoza KWA viongozi wapumbavu na dola dhulmati isiyo na weledi endeleeni kuwa waonevu dhidi ya watanzania ipo siku mchuma janga atakula na wakwao.
 
Ndio weledi wa jeshi letu ulipofikia na hayo sio mageni hiyo ni kawaida yao kuwabambikia watu walishafanya kwa Mdude mpaka wakat mwingine unajiuliza hivi Hawa watu huko vyuoni Huwa wanasomea vitu Gani? Aibu kabisa kuwa raia wa hii nchi
 
Watakutana na Cross examination ya Kibatala huko court
Wakili THE BIG ANSWER hahhah Kibatala bhana, safari hii haitakuwepo kwa sababuwote wamesema wanaenda kutoa maelezo yao mahakamani
 
Siku zote kawaida ya mbwa ukintumisha hatakama kitu hakina faida kwake hutekeleza. Ndio hawo policcm kazi wanayoifanya kwa kutumikishwa na wafuasi wao huku wa uvccm kushangilia.
 
Dr Slaa naye amedukuliwa?
Mdude je?
Kinachodukuliwa kwenye simu ni kile kilichomo mfano wa simu ya Napii na Merope wakati wa bwana Chattle. Hata hivyo hiyo ndiyo kazi ya polisi.
Hivyo asitafute huruma ya wananchi (siyo Yanga) bali apambane na hali yake
 
Wadanganye wajinga sana !
 
hoja ya kijinga kabisa hii yaani aongee upuuzi wake huko halafu wakili huyu naye mpuuzi anawasingizia police ? acha apambane na hali yake tu hakuna pa kuchomokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…