Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #141
Hujasikia kwamba wanataka sample ya sauti ya Dr Slaa , kama wanayo hii nyingine wanaitaka ya nini ?Dr Slaa naye amedukuliwa?
Mdude je?
Kinachodukuliwa kwenye simu ni kile kilichomo mfano wa simu ya Napii na Merope wakati wa bwana Chattle. Hata hivyo hiyo ndiyo kazi ya polisi.
Hivyo asitafute huruma ya wananchi (siyo Yanga) bali apambane na hali yake
wapuuzi sana nyie yaani kayakanyanga mnataka kusingizia police?Wadanganye wajinga sana !
ndiyo hapo wanataka kutufanya watanzania wote hatuna akili? wacha wajichanganye tu na huyoi wakili naye anafaa kukamatwa aungane na hao wahaini aielezee police wapi imedukuaNa tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
na wao ni easy targets, tunawaona kila siku, ofisi zao ziko peupe, na wengine tunaishi nao.
waache tu waedelee kutumika na wakoloni weusi
Walaaniwe wadukuzi wote! Tena nasema walaaniwe na siku zao ziwe chache Zaburi 109:8
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Wamedukua mpaka sauti zao?

kama hawajadukua kwanini wanataka sample ya sauti ya Dr SlaaWamedukua mpaka sauti zao?
Hakuna chochote kizuri toka kwa mtu anayepata sifuri darasani.Ila Intelligence ya Polisi wa Kibongo ni mbovu mno.
Huo ni utaratibu wa kazi za kipolisi.kama hawajadukua kwanini wanataka sample ya sauti ya Dr Slaa
Wewe unaona ni kitu ambacho hakiwezekani?Wamedukua mpaka sauti zao?
Kwa mahakama hizi za kangaroo hilo linawezekana.Naona mmeamua kujifariji na kujiliwaza na wenzako Slaa hata muweke mawakili 20,000 hachomoki hapa ni uhuru tu ya Rais.
Eti nasikia hadi finger print iliyotype simu husika huwa wanaisave, sijui wanafanya Je wenzetu.. Loh🤔Polisi wa kibongo hawana ujanja wa kuwazidi akili Meta.
Instagram ina ulinzi mkali kuliko hata system za mabank yetu nchini