AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati?

~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022.

~ Crane za mizengwe za January?

~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania?

~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi wa kujaza maji, kwanini hawataki hili bwawa kumamilika kwa wakati?

Tutakukumbuka daima Mzalendo.


~
 
Hoi hoi sukuma gang kazini ? Mbona lawama haziishi ? Hebu tuwape muda Kilimani pumzika sasa khaaaa
 
Ulitaka kuweka hiyo picha au kuulezea mradi ulivyo?
 
Chama cha mabwege ni janga
 
Hivi nyie mlijuwa,kwenye kulijaza litajaa leo leo ehh

Ova
 
Ukiwa mama wa familia unaweza letewa hata matoto mapumbavu na mataahira ya baba asiyejielewa so Rais Samia anawaongoza wapumbavu ukiwemo mtoa mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…