Dini ya Kikristu ya Ulimwenguni inapaswa ibadilike kuhusu masuala ya mirathi kwa kuwa matajiri wakristo wa Tanzania wanaacha migogoro wanapofariki, au sio?DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.
Dini ya ukristo Ina sheria ya mirathi hivi unasomaga biblia kweliWazungu hawana migogoro sababu wanatumia sheria za serikali yao. Sheria zao za mirathi zinaruhusu kumpa urithi hata mbwa ama paka.
Ila dini ya Kikristo haina sheria ya mirathi, sina haja ya kufanunua hapa, Kwa Tanzania sheria za mirathi za serikali zinatumika, na nchi nyingine kama Marekani utaona matajiri wanafariki hakuna mgogoro sababu sheria za serikali za nchi zao zinatumika. Sio sheria za ukristo bali ni za serikali zao
Exactly sio dini ni tatizo la watu weusiItoshe kusema watu weusi tuna tatizo pahala. Au nasema uwongo ndugu zangu?????
Aya mbili za mwisho za hao uwaitao matajiri umechemka. Kunatokota mahakamani mbona. Kwa Mengi shida ni Kyline sijui Jack wala sio succession plan
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Anataka apewe shares za watoto wake akamuuzie X wake Mo Dewji succession ya Mengi’s ndio itakapoenda kupotea
Mengi sio hakua na successor Regina na Abdiel ndio waliokua watendaji wakuu wa IPP mwenyekiti ni Kivuli hao ni aliwaandaa, na ndio maana Dr Mengi alivyodondoshwa Dubai kyln huyo huyo alipiga Simu kuomba Hela ya Matibabu kwa watoto wa Mengi wakubwa anajua umuhimu wao na nguvu waliokua nayo kwenye Company zao
Tena sheria za kimila ndiyo zina migogoro mingiUsikurupukie vitu usivyovijua kwa undani
Ndio maana wao ni rangi tofauti na waswahili wa manzese!Utajiri wa Bilioni 500 mbona mnagawana fresh tu hata muwe watu 100.
Mbona wahindi na waarab hawagombani
hivi wewe umefikirii au umeamua kuropoka tu??? uoe haya mabinti mapepe ya kiswahili haya? kina ukoo wa Mama Mosha, sijui mAsawe? yelewii hesabu umekwisha labda uwe richawiii? maweee ......Endelea tu kuwaza ,una mtoto mkubwa labda miaka 30 unataka kumkabidhi kampuni hakikisha ameoa kwanza apunguze mapepe ...Hilo swala nimeona watoto kibao wa wahindi na waarabu nilio soma nao lazima aoe kwanza ndo apewe majukumu mazito angalia mo dewji alioa mapema sana mpaka sasa binti yake ana miaka kama 20 yeye hata 50 hajafika
kweli nimeamini weye ni simple ...fresh Man!!Utajiri wa Bilioni 500 mbona mnagawana fresh tu hata muwe watu 100.
Mbona wahindi na waarab hawagombani
Hapana mkuu wale ni watu wazima wanaweza kwenda nje hat ya mkoa na wakaoa mtoto mzuri tu maisha yakaendahivi wewe umefikirii au umeamua kuropoka tu??? uoe haya mabinti mapepe ya kiswahili haya? kina ukoo wa Mama Mosha, sijui mAsawe? yelewii hesabu umekwisha labda uwe richawiii? maweee ......
..li binti hilo litakuua faster likuache humo ndani na mali kwa kaka zakeeeee!! ...halafu litalia weeee!! ....... acha kabisa labda uoee hao hao wahindi na wazungu hawa bana utakufa kifo cha haki!
Bana weee nisikie mimi!! kwanzaHapana mkuu wale ni watu wazima wanaweza kwenda nje hat ya mkoa na wakaoa mtoto mzuri tu maisha yakaenda
Kuna utajiri (rich) na ukwasi (wealth). Tz wengi ni tajiri kama kubahatisha vile, wakati wowote wanaweza kutetereka na kuanguka, au kiongozi wa familia akifariki, hakuna kitakachoendelea.Habari wadau.
Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi.
Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo.
Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata kuolewa.. sasa 3rd generation ya kuendeleza mali watazaliwa lini? na watakuwa wakubwa lini? na watafundishwa biashara lini?
Matajiri wengi levo ya mengi wamefariki ila hatuoni wakipelekana mahakamani. Tena wengi wao wana watoto wengii na wake wengii kuliko mengi
Kafa tajiri wa Asas kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa Ali mafuruki kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa Zakaria mwenye kiwanda cha Korie kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa baba yao na gsm kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa somaiya sijui wa shivacom kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake.
Kafa Subhash Patel tajiri wa Motisun group. Viwanda kibaoo ila mirathi yake kimyaaa hatujasilia mgogoro wowote.
DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.
MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .
KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA
MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..
KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI
matajiri wanaoishi maisha ya kimila.. kama bilionea laizer yule wanapofariki ni ngumu kusikia mgogoro maana sheria ya kimila inatumika ( hawatumii ya kiserikali).
Ila ukristo mke mmoja tu ila migogoro kibao
Kuna utajiri (rich) na ukwasi (wealth). Tz wengi ni tajiri kama kubahatisha vile, wakati wowote wanaweza kutetereka na kuanguka, au kiongozi wa familia akifariki, hakuna kitakachoendelea.
kwahyo mleta mada unataka kusema hyo dini ya wavaa kobasi na magunia ndio ina sheria nzuri sana za mirathi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo ni mambo ya ndani ya familia tusiojua chochote. na kama wanakosea ni wao waache wapambane wakimaliza watapata wasimamizi wa mali zao.