Aibu sana tajiri msomi kama Mengi kushindwa kuandaa succession plan ya utajiri wake. Bakhressa hana elimu ila ameweza

Unazidi kujichanganya...angalia argument ya mleta mada...na mwingine kasema Biblia imefeli...sidhani kama dini inaingia hapa mkuu! Nina mifano mingi mkuu, naona chuki ya dini ndio inataka kusukuma mada! Na nadhani hujui dini ya Kikristo na uhuru aliopewa muumini! Kwa hiyo kama Ukristo umefeli no Tanazinia tu? Huoni ni maswala binafsi mkuu! Don't drag religion into this.

Wazungu hawana migogoro sababu wanatumia sheria za serikali yao. Sheria zao za mirathi zinaruhusu kumpa urithi hata mbwa ama paka.

Ila dini ya Kikristo haina sheria ya mirathi, sina haja ya kufanunua hapa, Kwa Tanzania sheria za mirathi za serikali zinatumika, na nchi nyingine kama Marekani utaona matajiri wanafariki hakuna mgogoro sababu sheria za serikali za nchi zao zinatumika. Sio sheria za ukristo bali ni za serikali zao
 
Embu kasome uzi tena uelewe vizuri.. maana umeleta mambo ya marekani huku tunaongelea sheria ya serikali ya Tanzania

Kwani marekani wanatumia sheria ya mirathi ya ukristo. Ama sheria ya mirathi ya serikali ya marekani?
Kwa hiyo sheria za mirathi ya Tanzania no za Kikristo, Ukristo upi hasa huo ? Tanzania ina makundi mengi ya Wakristo...
 
Mbona una kichwa kigumu sana.

Tanzania mirathi inaendeshwa kwa kufata sheria tatu.

1.Sheria ya kiserikali

2.Sheria ya kimila

3.Sheria ya kiislam

Hakuna sheria ya mirathi ya kikristo Tanzania
 
Embu kasome uzi tena uelewe vizuri.. maana umeleta mambo ya marekani huku tunaongelea sheria ya serikali ya Tanzania
Kama tunazungumzia sheria ya mirathi ya Tanzania, iweje uuingize Ukristu kwa kutoa mifano ya matajiri wa Kikristu walioacha migogoro?
 
Wazungu hawana migogoro sababu wanatumia sheria za serikali yao. Sheria zao za mirathi zinaruhusu kumpa urithi hata mbwa ama paka.

Ila dini ya Kikristo haina sheria ya mirathi, sina haja ya kufanunua hapa, Kwa Tanzania sheria za mirathi za serikali zinatumika, na nchi nyingine kama Marekani utaona matajiri wanafariki hakuna mgogoro sababu sheria za serikali za nchi zao zinatumika. Sio sheria za ukristo bali ni za serikali zao
Kwa hiyo hitimisho lako kuwa dini ya Kikristo ndio muasisi wa migogoro ya mirathi, nadhani siwezi kuendelea kujadiliana na wewe maana sijui ni Ukristo upi unaozungumzia.
Nina bahati katika maisha kuzaliwa katika familia zenye ukristo na uislamu pia, nimeona katika maswala ya mirathi ni maridhiano tu, nmeona baadhi ya ndugu zangu Waislamu wakigoma kabisa sheria za mirathi za Kiislamu zisitumike kwa vile zitawaumiza, nina wengi tu.
Anyway sipendi malumbano ya kidini ndio jadi yangu! Hivyo mkuu nakomea hapa, tutakutama katika mada nyingine.
 
Kwa hiyo Ukristo unatofautiana kati ya nchi na nchi?

Mbona una kichwa kigumu sana.

Tanzania mirathi inaendeshwa kwa kufata sheria tatu.

1.Sheria ya mirathi ya kiserikali ( hii inatumiwa na mahakama kama marehemu alikuaa mkristo ama alikuwa haeleweki ni dini gani yaani mpagani

2.Sheria ya mirathi ya kimila ( hii inatumiwa na mahakama kama marehemu alikuwa anaishi kimila mfano bilionea laizer yule masai akifariki )

3.Sheria ya mirathi ya kiislam inatumiwa na mahakama kama marehemu alikuwa muislam

Hakuna sheria ya mirathi ya kikristo Tanzania
 
Kama tunazungumzia sheria ya mirathi ya Tanzania, iweje uuingize Ukristu kwa kutoa mifano ya matajiri wa Kikristu walioacha migogoro?

Kwani topic imeongelea Matajiri wa nchi gani? Kuna tajiri hata mmoja wa nje ya Tanzania nimemtaja kwenye uzi pale juu.. nimetaja mifano ya matajiri kama 10 hivi.. kuna wa nje ya Tanzania hata mmoja.. hata wa kenya ama uganda hayupo pale
 
Kwa hiyo hitimisho lako kuwa dini ya Kikristo ndio muasisi wa migogoro ya mirathi, nadhani siwezi kuendelea kujadiliana na wewe maana sijui ni Ukristo upi unaozungumzia.
Nina bahati katika maisha kuzaliwa katika familia zenye ukristo na uislamu pia, nimeona katika maswala ya mirathi ni maridhiano tu, nmeona baadhi ya ndugu zangu Waislamu wakigoma kabisa sheria za mirathi za Kiislamu zisitumike kwa vile zitawaumiza, nina wengi tu.
Anyway sipendi malumbano ya kidini ndio jadi yangu! Hivyo mkuu nakomea hapa, tutakutama katika mada n

Mbona una kichwa kigumu sana.

Tanzania mirathi inaendeshwa kwa kufata sheria tatu.

1.Sheria ya kiserikali

2.Sheria ya kimila

3.Sheria ya kiislam

Hakuna sheria ya mirathi ya kikristo Tanzania
Nani ana kichwa kigumu,rudi kwenye mada, mada ina dini,ina succession plans za makampuni, na inaonekana kuna Ukristo wa Tanzania, nadhani baadaye utakuja na Uslamu wa Tanzania nk!
Anyway nikubali nina kichwa ngumu kwa hili!
 
Kwani topic imeongelea Matajiri wa nchi gani? Kuna tajiri hata mmoja wa nje ya Tanzania nimemtaja kwenye uzi pale juu.. nimetaja mifano ya matajiri kama 10 hivi.. kuna wa nje ya Tanzania hata mmoja.. hata wa kenya ama uganda hayupo pale
Hao matajiri wa nje, wanatumia Biblia tofauti yenye mirathi ndani yake?
 
Copy and paste ya nilichoandika kwenye uzi

DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.

MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .

KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA

MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..

KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI
 
Nani ana kichwa kigumu,rudi kwenye mada, mada ina dini,ina succession plans za makampuni, na inaonekana kuna Ukristo wa Tanzania, nadhani baadaye utakuja na Uslamu wa Tanzania nk!
Anyway nikubali nina kichwa ngumu kwa hili!

Copy and paste

DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.

MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .

KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA

MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..

KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI
 
Habari wadau.

Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi.

Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo.

Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata kuolewa.. sasa 3rd generation ya kuendeleza mali watazaliwa lini? na watakuwa wakubwa lini? na watafundishwa biashara lini?

Matajiri wengi levo ya mengi wamefariki ila hatuoni wakipelekana mahakamani. Tena wengi wao wana watoto wengii na wake wengii kuliko mengi

Kafa tajiri wa Asas kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa Ali mafuruki kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa Zakaria mwenye kiwanda cha Korie kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa baba yao na gsm kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa somaiya sijui wa shivacom kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake.

Kafa Subhash Patel tajiri wa Motisun group. Viwanda kibaoo ila mirathi yake kimyaaa hatujasilia mgogoro wowote.

Matajiri ambao ni Waislamu wenzetu hawaitumii hiyo sheria ya kiserikali. Sababu wao wana muongozo umeandikwa kabisa katika quran yao.

Pia hata matajiri wanaoishi maisha ya kimila.. kama bilionea laizer yule wanapofariki ni ngumu kusikia mgogoro maana sheria ya kimila inatumika ( hawatumii ya kiserikali). Unakuta Mtu ana wake kibao na watoto kibao ila hawagombani wala kuleta mgogoro wa mali.

Ila ukristo mke mmoja tu ila migogoro kibao
Aya mbili za mwisho za hao uwaitao matajiri umechemka. Kunatokota mahakamani mbona. Kwa Mengi shida ni Kyline sijui Jack wala sio succession plan

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau.

Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi.

Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo.

Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata kuolewa.. sasa 3rd generation ya kuendeleza mali watazaliwa lini? na watakuwa wakubwa lini? na watafundishwa biashara lini?

Matajiri wengi levo ya mengi wamefariki ila hatuoni wakipelekana mahakamani. Tena wengi wao wana watoto wengii na wake wengii kuliko mengi

Kafa tajiri wa Asas kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa Ali mafuruki kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa Zakaria mwenye kiwanda cha Korie kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa baba yao na gsm kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake

Kafa somaiya sijui wa shivacom kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake.

Kafa Subhash Patel tajiri wa Motisun group. Viwanda kibaoo ila mirathi yake kimyaaa hatujasilia mgogoro wowote.

DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.

MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .

KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA

MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..

KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI

Matajiri ambao ni Waislamu wenzetu hawaitumii hiyo sheria ya kiserikali. Sababu wao wana muongozo umeandikwa kabisa katika quran yao.

Pia hata matajiri wanaoishi maisha ya kimila.. kama bilionea laizer yule wanapofariki ni ngumu kusikia mgogoro maana sheria ya kimila inatumika ( hawatumii ya kiserikali). Unakuta Mtu ana wake kibao na watoto kibao ila hawagombani wala kuleta mgogoro wa mali.

Ila ukristo mke mmoja tu ila migogoro kibao
Unalosema Kama Lina ukweli ndani once you think critically. Mie nilipokaribia kuoa nilitaka kuoa mtt wa shangazi yangu kwa babu yangu mdogo. Mana niliona mkioana wa karibu hakuna haja ya kufanyiana umafia. Mana mwanamke ama mke wako Ni mama yako wa ukubwani inabidi uniamini na uwe unamjua na sio unakuwa baadhi ya wengine hawali hata chakula Cha wakewe zao
 
Copy and paste

DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.

MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .

KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA

MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..

KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA Om

Copy and paste

DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.

MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .

KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA

MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..

KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI
Mkuu tukupe ushindi! Biblia imesahau mwongozo wa mirathi Tanzania!!! Naogopa wengine wasije anzisha mada ni lipi Quaran ilichosahau! Huwa nakimbia mada za namna hiyo...!!
 
Back
Top Bottom