- Thread starter
- #41
Unazidi kujichanganya...angalia argument ya mleta mada...na mwingine kasema Biblia imefeli...sidhani kama dini inaingia hapa mkuu! Nina mifano mingi mkuu, naona chuki ya dini ndio inataka kusukuma mada! Na nadhani hujui dini ya Kikristo na uhuru aliopewa muumini! Kwa hiyo kama Ukristo umefeli no Tanazinia tu? Huoni ni maswala binafsi mkuu! Don't drag religion into this.
Wazungu hawana migogoro sababu wanatumia sheria za serikali yao. Sheria zao za mirathi zinaruhusu kumpa urithi hata mbwa ama paka.
Ila dini ya Kikristo haina sheria ya mirathi, sina haja ya kufanunua hapa, Kwa Tanzania sheria za mirathi za serikali zinatumika, na nchi nyingine kama Marekani utaona matajiri wanafariki hakuna mgogoro sababu sheria za serikali za nchi zao zinatumika. Sio sheria za ukristo bali ni za serikali zao