Aibu/shida gani ulikutana nayo stendi au kwenye basi

Kipindi cha ujana form III nilisafiri toka Dom hadi Dar likizo kwa Bus aina ya SIRI YAKO, wakati huo mabasi yanasafiri usiku. Sasa nilipoenda kukata tiketi niamwomba mkatishaji anitafute pic kali moja ya kukaa nayo maana safari ni ndefu afu nikamgea tip kidogo ili asiniangushe.

Nilivyofika home maana nilikuwa naishi wa Mjomba, basi mzee mzima nikafungua kabati la vinywaji nikachomoa Afrikoko mzinga mzima wa wine, nikasema leo afe kipa afe beki nikaficha kwenye begi langu.

Saa mbili kasoro usiku muda ukakaribia wa kuondoka nikasogea stend pake nikapanda ndani ya Bus kuelekea kwenye siti yangu, hamadiiii namkuta mototo mbichiiii kaka siti dirishani - nikasema mambo si haya sasa..... nikaketi nikamsalimia na story za hapa na pale zikaanzia hapo, alikuwa form II Jangwani.

Saa nne nne usiku, masaa 2 tangu safarini ianze nikaona sasa nimchomoe faru john wangu, kitu afrikoko mzee balaa..... nilikuwa na ka glass kadogo hivi nikamimina nikanywa - mtoto nikamkaribisha akakubali nikammiminia akanywa - story zikaendeleaaa - za shule shule baadaye nikaanza za ki utu uzima...

Kama mnavyojua wine hainaga eti kukojoa kojoa kama bia, so tukaendelea mtoto akachangamka saaana kama nilivyotaka - tukawa as if watu tunajuana kitambo....kumbe mzee afrikoko ishaanza kufanya yake..

Kwenye mida ya saa sita wakati chupa limebakia robo, nikaona mototo anajiachia, nikasema yes, akaomba anilalie magotini maana alikuwa kachoka nikasema yeep yeeap - yaliyoendelea tokea hapo sitakaa niyasahau....

Kwa sasa anafanya benki moja maarufu hapa town, huwa nikimwangaliaa ananiambia weweeee, weweeee ntakushtaki 'cause I was under 18 ....mi nachekaaaa !!

Amesomea sheria hapo mlimani. - Mmbo ya Bus safari za usiku ndiyo hayo ndugu zangu.
 
Nimetoka hukohuko Songea-Mbeya. Jana yake usiku nilikuwa nimekula mbuzi na chachandu pale Serengeti. Bila shaka ni food poisoning ya ile chachandu. Tumbo la kuhara linakuja kwa spidi zote. Kufika sehemu mapoti wakasimamisha, nikashuka kuwaomba uelekeo wa msalani. Dele anapiga honi nachelewa, mi najisemea, "hawezi niacha kwa mapoti." Karatasi na majani. Siku ile niliwaheshimu sana wale mapoti.

Kurudi kwenye gari, siti ya nyuma! Uzuri watu nao wanakuwa na aibu, hawawezi kukukazia mimacho. Kufika makambako tena ni mbio msalani. Siku ile sikula kitu njia nzima.

BTW Flagyl haifungi choo. Ukipatwa na hali hiyo tumia loperamide, ndiyo inakata kuharisha.
imodium ndio kibokoyake
 
Mimi niliwahi kupata aibu ya mwaka.

Mwaka 2016 wakati likizo yangu ya chuo imeisha nilikuwa narudi chuo mkoani Dar es Salaam nikitokea Mwanza. Nilikaa seat moja na classmate wangu wa kike ambaye alikuwa anatokea Geita. Tulifanya mpango wa kupata seat hizo siku nne kabla ya safari katika kampuni ya kisesa.

Safari ilianza vizuri, tulifika Shinyanga bus ikaingia stand kubeba abiria. Yule mtoto niliyekaa nae akatoa cake(halfcake) akanipa nikakataa but akalazimisha nichukue hata moja, yeye akawa anakunywa na maziwa. Nilichukua tu kumlidhisha lakini ukweli safari ndefu kama ile nilikuwa sipendi kula njiani.

Tuliondoka shy tukaanza mwendo, haikupita nusu saa bus ikasimama na abiria tukashuka kuchimba dawa. Pia nilishuka na wakati narudi nikahisi kitu tumboni. Ile napanda ngazi za bus tumbo likanipa taarifa tena japo nikajipa moyo kuwa nitafika tu. Nilipofika kwenye seat nikaanza kuhisi usingizi, daah! Bora ningesinzia, me nilijikaza nisisinzie ili niendelee kuangalia jinsi bus letu linavyokimbia na kuyapita mabus mengine.

Nusu saa baadae tumbo likaanza kuuma serious, yule mtoto niliyekaa nae alikuwa kasinzia, nikamshtua na kumwambia tumbo langu haliko sawa. Yeye aliniambia pole, jikaze tu then akalala. Asee, tumbo likawa tumbo, ikabidi nimuulize mzee mmoja alikaa seat ya pembeni yetu kuwa bado umbali gani tufike Singida, yule mzee alinijibu bado sana kwani vipi? Nikamjibu nauliza tu.

Kadri tulivyozidi kwenda ndio tumbo likazidi kuzingua. Nikawa nikianfalia abiria asilimia kubwa walikuwa wamelala. Daah, nikaanza kujinyoosha kama mtu anaekata roho. Wakati nahangaika, nilijikuta nimemgusa kichwa mzee flani aliyekaa seat ya mbele yetu. Yule mzee aligeuka na kuniuliza kijana vipi, nikamjibu tumbo linauma. Basi, akamuamsha mama flani alikuwa amekaa nae, akamwambia huyu kijsna anaumwa tumbo, wakanishauri nibonyeze kitufe cha dharura, kinakuwa kwa juu pembeni ya taa za ndani. Nilifanta hivyo lakini dereva hakuwa na taarifa, ikabidi huyo mzee amshtue konda na konda akamwambia dereva. Dereva akasema tutasimama mbrle hapa kuna makazi ya watu.

Jamani hiyo siku nilitamani wanishushe wao waendelee na safari maana nilihis kitu kinagonga boxer nakurudi ndani. Tulifika sehemu flani hakuna makazi, dereva akapaki bus, konda akasema shuka fasta, wakati nateremka konda akaropoka kwa sauti kama kuna mwingine kama huyu ashuke haraka. Asee nilijihis vibaya japo kwa muda huo nilikuwa nawaza kupata chimbo la kwenda kukata ngandi.

Duuh, nilipata chaka zuri nikaanza mambo, niliharisha kinoma hadi nikashtuka kuwa nilikuwa nimebeba mzigo mkubwa tumboni.
Nilipomaliza nikarudi ndani kwenye bus, konda akanipa kidonge. Yulr mtoto niliyekaa nae akaniuliza Mlatino vipi umeharisha? Nikamjibu hapana, choo kimegoma kutoka, sijui tatizo nini kumbe nimeharisha kinoma.
Tulipo fika Singida, si kwenda hotelin zaidi ya kuanzia toilet kuendeleza show.

Hatari sana,
 
Makongo pale pikipiki ilizima baada ya plug kupata shida..... mwanajeshi wa pale getini akanifuata akaniamuru nisukume pikipiki na mvua ilikuwa inanyesha..... WAKATI NASUKUMA AKAJA MKUBWA MMOJA ANAYENIJUA AKASHANGAA SANA..... yule mwanajeshi ALIPATA AIBU AMBAYO NILIONA AIBU MIMI MAANA HAKUJUA HATA AFANYE NINI.....
Wana tusiringe ndani ya magwanda.... SISI WOTE NI NYAMA NA TUTAKUFA.
 
Mimi nikiwa ndani ya treni ya Tazara Dar to Moro ( Ifakara) ilikuwa shida Sana, tumbo liliniuma Sana, halafu vyoo ya treni maji hamna, nashukuru nilitumia mbinu za medani kujisafisha na kurudi kwenye siti
 
Jamaa yangu alikuwa mtu wa Pombe sana,na safari zake zote alikuwa anaamkia Bar,basi siku hiyo tumesafiri wote ilikuwa ndani ya Scandinavia Songea to Dar
Ile basi ameanza kuchanganya tu,jamaa kaomba akachimbe dawa.haijafika hata nusa saa,jamaa kasimama tena anataka akachimbe dawa,si konda akaanza kumzingua anamwambia dereva hakuna kusimama Dar tutaingia saa ngapi
Huwezi amini yule jamaa alitoa dudu akakojoa pale kwa dereva, kwenye kitanda,ukitegemea alikuwa miraba minne halafu mbabe.
Ilibidi akisimama tu akitaka kwenda kukojoa dereva yeye mwenyewe anasimamisha gari bila kuombwa
 
[emoji1787][emoji1787]dah
 
Nimetoka hukohuko Songea-Mbeya. Jana yake usiku nilikuwa nimekula mbuzi na chachandu pale Serengeti. Bila shaka ni food poisoning ya ile chachandu. Tumbo la kuhara linakuja kwa spidi zote. Kufika sehemu mapoti wakasimamisha, nikashuka kuwaomba uelekeo wa msalani. Dele anapiga honi nachelewa, mi najisemea, "hawezi niacha kwa mapoti." Karatasi na majani. Siku ile niliwaheshimu sana wale mapoti.

Kurudi kwenye gari, siti ya nyuma! Uzuri watu nao wanakuwa na aibu, hawawezi kukukazia mimacho. Kufika makambako tena ni mbio msalani. Siku ile sikula kitu njia nzima.

BTW Flagyl haifungi choo. Ukipatwa na hali hiyo tumia loperamide, ndiyo inakata kuharisha.
Ahsante kwa kutambua umuhimu wa Askari
 
Mimi niliwahi kupata aibu ya mwaka.

Mwaka 2016 wakati likizo yangu ya chuo imeisha nilikuwa narudi chuo mkoani Dar es Salaam nikitokea Mwanza. Nilikaa seat moja na classmate wangu wa kike ambaye alikuwa anatokea Geita. Tulifanya mpango wa kupata seat hizo siku nne kabla ya safari katika kampuni ya kisesa.

Safari ilianza vizuri, tulifika Shinyanga bus ikaingia stand kubeba abiria. Yule mtoto niliyekaa nae akatoa cake(halfcake) akanipa nikakataa but akalazimisha nichukue hata moja, yeye akawa anakunywa na maziwa. Nilichukua tu kumlidhisha lakini ukweli safari ndefu kama ile nilikuwa sipendi kula njiani.

Tuliondoka shy tukaanza mwendo, haikupita nusu saa bus ikasimama na abiria tukashuka kuchimba dawa. Pia nilishuka na wakati narudi nikahisi kitu tumboni. Ile napanda ngazi za bus tumbo likanipa taarifa tena japo nikajipa moyo kuwa nitafika tu. Nilipofika kwenye seat nikaanza kuhisi usingizi, daah! Bora ningesinzia, me nilijikaza nisisinzie ili niendelee kuangalia jinsi bus letu linavyokimbia na kuyapita mabus mengine.

Nusu saa baadae tumbo likaanza kuuma serious, yule mtoto niliyekaa nae alikuwa kasinzia, nikamshtua na kumwambia tumbo langu haliko sawa. Yeye aliniambia pole, jikaze tu then akalala. Asee, tumbo likawa tumbo, ikabidi nimuulize mzee mmoja alikaa seat ya pembeni yetu kuwa bado umbali gani tufike Singida, yule mzee alinijibu bado sana kwani vipi? Nikamjibu nauliza tu.

Kadri tulivyozidi kwenda ndio tumbo likazidi kuzingua. Nikawa nikianfalia abiria asilimia kubwa walikuwa wamelala. Daah, nikaanza kujinyoosha kama mtu anaekata roho. Wakati nahangaika, nilijikuta nimemgusa kichwa mzee flani aliyekaa seat ya mbele yetu. Yule mzee aligeuka na kuniuliza kijana vipi, nikamjibu tumbo linauma. Basi, akamuamsha mama flani alikuwa amekaa nae, akamwambia huyu kijsna anaumwa tumbo, wakanishauri nibonyeze kitufe cha dharura, kinakuwa kwa juu pembeni ya taa za ndani. Nilifanta hivyo lakini dereva hakuwa na taarifa, ikabidi huyo mzee amshtue konda na konda akamwambia dereva. Dereva akasema tutasimama mbrle hapa kuna makazi ya watu.

Jamani hiyo siku nilitamani wanishushe wao waendelee na safari maana nilihis kitu kinagonga boxer nakurudi ndani. Tulifika sehemu flani hakuna makazi, dereva akapaki bus, konda akasema shuka fasta, wakati nateremka konda akaropoka kwa sauti kama kuna mwingine kama huyu ashuke haraka. Asee nilijihis vibaya japo kwa muda huo nilikuwa nawaza kupata chimbo la kwenda kukata ngandi.

Duuh, nilipata chaka zuri nikaanza mambo, niliharisha kinoma hadi nikashtuka kuwa nilikuwa nimebeba mzigo mkubwa tumboni.
Nilipomaliza nikarudi ndani kwenye bus, konda akanipa kidonge. Yulr mtoto niliyekaa nae akaniuliza Mlatino vipi umeharisha? Nikamjibu hapana, choo kimegoma kutoka, sijui tatizo nini kumbe nimeharisha kinoma.
Tulipo fika Singida, si kwenda hotelin zaidi ya kuanzia toilet kuendeleza show.

Hatari sana,
Konda anauliza kuna mwingine anaharisha ashuke
 
Kipindi cha ujana form III nilisafiri toka Dom hadi Dar likizo kwa Bus aina ya SIRI YAKO, wakati huo mabasi yanasafiri usiku. Sasa nilipoenda kukata tiketi niamwomba mkatishaji anitafute pic kali moja ya kukaa nayo maana safari ni ndefu afu nikamgea tip kidogo ili asiniangushe.

Nilivyofika home maana nilikuwa naishi wa Mjomba, basi mzee mzima nikafungua kabati la vinywaji nikachomoa Afrikoko mzinga mzima wa wine, nikasema leo afe kipa afe beki nikaficha kwenye begi langu.

Saa mbili kasoro usiku muda ukakaribia wa kuondoka nikasogea stend pake nikapanda ndani ya Bus kuelekea kwenye siti yangu, hamadiiii namkuta mototo mbichiiii kaka siti dirishani - nikasema mambo si haya sasa..... nikaketi nikamsalimia na story za hapa na pale zikaanzia hapo, alikuwa form II Jangwani.

Saa nne nne usiku, masaa 2 tangu safarini ianze nikaona sasa nimchomoe faru john wangu, kitu afrikoko mzee balaa..... nilikuwa na ka glass kadogo hivi nikamimina nikanywa - mtoto nikamkaribisha akakubali nikammiminia akanywa - story zikaendeleaaa - za shule shule baadaye nikaanza za ki utu uzima...

Kama mnavyojua wine hainaga eti kukojoa kojoa kama bia, so tukaendelea mtoto akachangamka saaana kama nilivyotaka - tukawa as if watu tunajuana kitambo....kumbe mzee afrikoko ishaanza kufanya yake..

Kwenye mida ya saa sita wakati chupa limebakia robo, nikaona mototo anajiachia, nikasema yes, akaomba anilalie magotini maana alikuwa kachoka nikasema yeep yeeap - yaliyoendelea tokea hapo sitakaa niyasahau....

Kwa sasa anafanya benki moja maarufu hapa town, huwa nikimwangaliaa ananiambia weweeee, weweeee ntakushtaki 'cause I was under 18 ....mi nachekaaaa !!

Amesomea sheria hapo mlimani. - Mmbo ya Bus safari za usiku ndiyo hayo ndugu zangu.
😅😅😅😅au sio
 
Mimi niliwahi kupata aibu ya mwaka.

Mwaka 2016 wakati likizo yangu ya chuo imeisha nilikuwa narudi chuo mkoani Dar es Salaam nikitokea Mwanza. Nilikaa seat moja na classmate wangu wa kike ambaye alikuwa anatokea Geita. Tulifanya mpango wa kupata seat hizo siku nne kabla ya safari katika kampuni ya kisesa.

Safari ilianza vizuri, tulifika Shinyanga bus ikaingia stand kubeba abiria. Yule mtoto niliyekaa nae akatoa cake(halfcake) akanipa nikakataa but akalazimisha nichukue hata moja, yeye akawa anakunywa na maziwa. Nilichukua tu kumlidhisha lakini ukweli safari ndefu kama ile nilikuwa sipendi kula njiani.

Tuliondoka shy tukaanza mwendo, haikupita nusu saa bus ikasimama na abiria tukashuka kuchimba dawa. Pia nilishuka na wakati narudi nikahisi kitu tumboni. Ile napanda ngazi za bus tumbo likanipa taarifa tena japo nikajipa moyo kuwa nitafika tu. Nilipofika kwenye seat nikaanza kuhisi usingizi, daah! Bora ningesinzia, me nilijikaza nisisinzie ili niendelee kuangalia jinsi bus letu linavyokimbia na kuyapita mabus mengine.

Nusu saa baadae tumbo likaanza kuuma serious, yule mtoto niliyekaa nae alikuwa kasinzia, nikamshtua na kumwambia tumbo langu haliko sawa. Yeye aliniambia pole, jikaze tu then akalala. Asee, tumbo likawa tumbo, ikabidi nimuulize mzee mmoja alikaa seat ya pembeni yetu kuwa bado umbali gani tufike Singida, yule mzee alinijibu bado sana kwani vipi? Nikamjibu nauliza tu.

Kadri tulivyozidi kwenda ndio tumbo likazidi kuzingua. Nikawa nikianfalia abiria asilimia kubwa walikuwa wamelala. Daah, nikaanza kujinyoosha kama mtu anaekata roho. Wakati nahangaika, nilijikuta nimemgusa kichwa mzee flani aliyekaa seat ya mbele yetu. Yule mzee aligeuka na kuniuliza kijana vipi, nikamjibu tumbo linauma. Basi, akamuamsha mama flani alikuwa amekaa nae, akamwambia huyu kijsna anaumwa tumbo, wakanishauri nibonyeze kitufe cha dharura, kinakuwa kwa juu pembeni ya taa za ndani. Nilifanta hivyo lakini dereva hakuwa na taarifa, ikabidi huyo mzee amshtue konda na konda akamwambia dereva. Dereva akasema tutasimama mbrle hapa kuna makazi ya watu.

Jamani hiyo siku nilitamani wanishushe wao waendelee na safari maana nilihis kitu kinagonga boxer nakurudi ndani. Tulifika sehemu flani hakuna makazi, dereva akapaki bus, konda akasema shuka fasta, wakati nateremka konda akaropoka kwa sauti kama kuna mwingine kama huyu ashuke haraka. Asee nilijihis vibaya japo kwa muda huo nilikuwa nawaza kupata chimbo la kwenda kukata ngandi.

Duuh, nilipata chaka zuri nikaanza mambo, niliharisha kinoma hadi nikashtuka kuwa nilikuwa nimebeba mzigo mkubwa tumboni.
Nilipomaliza nikarudi ndani kwenye bus, konda akanipa kidonge. Yulr mtoto niliyekaa nae akaniuliza Mlatino vipi umeharisha? Nikamjibu hapana, choo kimegoma kutoka, sijui tatizo nini kumbe nimeharisha kinoma.
Tulipo fika Singida, si kwenda hotelin zaidi ya kuanzia toilet kuendeleza show.

Hatari sana,
😅😅😅😅
 
Jamaa yangu alikuwa mtu wa Pombe sana,na safari zake zote alikuwa anaamkia Bar,basi siku hiyo tumesafiri wote ilikuwa ndani ya Scandinavia Songea to Dar
Ile basi ameanza kuchanganya tu,jamaa kaomba akachimbe dawa.haijafika hata nusa saa,jamaa kasimama tena anataka akachimbe dawa,si konda akaanza kumzingua anamwambia dereva hakuna kusimama Dar tutaingia saa ngapi
Huwezi amini yule jamaa alitoa dudu akakojoa pale kwa dereva, kwenye kitanda,ukitegemea alikuwa miraba minne halafu mbabe.
Ilibidi akisimama tu akitaka kwenda kukojoa dereva yeye mwenyewe anasimamisha gari bila kuombwa
😅😅😅😅watu wakorofiii
 
Makongo pale pikipiki ilizima baada ya plug kupata shida..... mwanajeshi wa pale getini akanifuata akaniamuru nisukume pikipiki na mvua ilikuwa inanyesha..... WAKATI NASUKUMA AKAJA MKUBWA MMOJA ANAYENIJUA AKASHANGAA SANA..... yule mwanajeshi ALIPATA AIBU AMBAYO NILIONA AIBU MIMI MAANA HAKUJUA HATA AFANYE NINI.....
Wana tusiringe ndani ya magwanda.... SISI WOTE NI NYAMA NA TUTAKUFA.
😅😅😅😅😅
 
Uwiii! Haya mambo ya kupenda korosho haya nilizifakamia siku hiyo huku nashushia na maji basi baada ya muda tumbo likavuruga nikavumilia wee mwishowe nikawa sina jinsi ikabidi tu nishukie Chalinze na mizigo yangu yote nitafute toilet baada ya hapo nikapanda basi lingine kuelekea ninakoelekea.

Tangia hapo nikisafiri nakunywa maji na biskuti tena na kabla sijasepa nakunywa chai kwanza na hapo basi inakuwa imetoka ili kuepuka adha niliyoipitia ile siku.
 
Naenda Njombe nipo na mwanangu kipindi hicho ana miaka 4 kuna wadada wa pembeni wakawa wamempenda dogo wakampa vipande vya keki zao yeye ananiangalia mimi nimruhusu achukue au aache.

Nikawaambia wampe kimoja.

Basi tumefika Iringa dogo akanifuata sikioni akaninong'oneza "Baba ujue hapa najikaza ila nilikua nataka kupoo" nikamuambia "Nakuaminia jeshi" (kipindi hicho alikua anajiita Bosi au Jeshi) hata dakika tano hazijaisha akaniambia tena safari hii kwa sauti "Baba mi najikaza mwenzako" nikamuitikia kwa kichwa.

Tumeenda enda akasema tena "Mi najikaza ila nilikua nataka kupoo" nikamuuliza umesemaje akajibu "Mi najikaza" dakika kadhaa mbele akasema "Baba mi najikaza" namuangalia naona machozi yanamtoka, halafu kikafuata kilio "Baaaba mi . . mi najikaza"

Nikaomba basi lisimame nitafute ustaarabu ile tumesimama ni magogo tu yanaporomoka, kumbe ananiambia anajikaza but actually alikua ashaanza kuyakata.
 
Nililala guest asubuhi nishamaliza kuoga ndio nikapasi, nikajisahau kuchomoa pasi, ile mda ndio natoka nakumbuka kumbe pasi itabaki na moto wake si chini ya dk 30 mana kwa haraka nilipeleka moto mpka mwisho, na ni yale ma philips OG yenye vyuma vizito, Zimebaki dk 3, ticket nshakata na hata nisingekua nimekata lazima niondoke mana huko niendako nako nikifika tuu naingia kwenye kikao cha kiofisi naenda kuwakilisha.

Nikachomoa nikashika mkononi, nafika reception kuna dada anakuja nikamwambia "njoo taratibu" Nikawapa salamu, kabla hawajajibu nishawaaga, nilisikia tuu vicheko nyuma, Kufika nje mana najua lazima tuu nitakutana na yeyote anayenijua, nikanunua libarakoa,
Lile ndio likaongeza shida, maana ni yale ya kushona mtaani, ni mtu tuu kachukua likaniki lake huko kalikata kashona, limekaakaa tuu, linafunika mpaka macho, boda wanatamani waje ila hawaelewi wanaishia kupiga honi kwa mbali, nikaita mmoja nikapanda, japo hana amani, kufika stend wale ma Agent hakuna anayesogea, mmoja akaniambia bro si uweke hio pasi kwanza kwenye begi tuongee? Nikaitemea mate kdg, akasikia kama yana kaangwa sekunde yamekauka, kugeuka simuoni,

Kufika kwenye gari yangu, ma Agent waliniandikia siti ya nyuma kbsa, kuona vile wakaniambia bro kama umeamua kutukomoa umeweza, ngoja tukupe siti yako ya nyuma ya dereva uliyokua unaitaka,

Mana abiria hawanitaki sababu kumebanana, lakini pia naweza choma kochi zao n.k
 
Back
Top Bottom