Aibu/shida gani ulikutana nayo stendi au kwenye basi

Nmetimba zangu chuo .......nashangaa Kuna mdada mkali Sana but tuna mazoea kidogo ananiita

Labani......vipi nikikuambia kitu fulani hautakasirika?

Nikwamwambia .....sema tu mama ...usiwe na wenge..

Akajibu ...kweli ulisemalo ?

Duuuuh baada ya kuona anasisitiza Zaid nikaanza kupata wenge but ikabidi ni mruhusu

Daaaaaah nlichanganyikiwa baada ya kuniambia .....suruali imechanika.......
Aiseeeh.....mbio nilizotoka nazo hapo......sitasahau
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Alafu unasemwa kama mtoto mbele za watu yule dada bora ata angeniita pembeni kwa upole๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Mimi hzo naonaga vitu vidogo tu,Nacheka halafu naondoka.Kwani kibao kimeandikwa usikanyage ukoko?
 
Nilikata tiketi 24/12/2021 Kwa basi la Al saedy,Dar-Tabora,kwenda stendi asubuhi yake, yaani tarehe 25,basi halikuepo na hakuna taarifa!
 
Nmetimba zangu chuo .......nashangaa Kuna mdada mkali Sana but tuna mazoea kidogo ananiita

Labani......vipi nikikuambia kitu fulani hautakasirika?

Nikwamwambia .....sema tu mama ...usiwe na wenge..

Akajibu ...kweli ulisemalo ?

Duuuuh baada ya kuona anasisitiza Zaid nikaanza kupata wenge but ikabidi ni mruhusu

Daaaaaah nlichanganyikiwa baada ya kuniambia .....suruali imechanika.......
Aiseeeh.....mbio nilizotoka nazo hapo......sitasahau
We jamaaa ni mchomaji
 
Kupandishwa NEW FORCE la mbeya badala ya tunduma na maelezo nimewapa kuwa naenda sehemu moja inaitwa mlowo na tiketi yangu ikaandikwa DAR to TUNDUMA na mimi ndio mara ya kwanza kwenda huko aise yule dada hana utu hata kidogo ni mshenzi sana mpaka leo naichukia hio company
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Me juzi namsiaitiza konda aniiache kituo fulani kwa kuwa sikifahamu na nimeelekezwa hivyo akajibu sawa nisiwe na wasiwasi kwamza bado mbali sana, zimepita dk 20 namuuliza bado eti anasikitika.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nililala guest asubuhi nishamaliza kuoga ndio nikapasi, nikajisahau kuchomoa pasi, ile mda ndio natoka nakumbuka kumbe pasi itabaki na moto wake si chini ya dk 30 mana kwa haraka nilipeleka moto mpka mwisho, na ni yale ma philips OG yenye vyuma vizito, Zimebaki dk 3, ticket nshakata na hata nisingekua nimekata lazima niondoke mana huko niendako nako nikifika tuu naingia kwenye kikao cha kiofisi naenda kuwakilisha.

Nikachomoa nikashika mkononi, nafika reception kuna dada anakuja nikamwambia "njoo taratibu" Nikawapa salamu, kabla hawajajibu nishawaaga, nilisikia tuu vicheko nyuma, Kufika nje mana najua lazima tuu nitakutana na yeyote anayenijua, nikanunua libarakoa,
Lile ndio likaongeza shida, maana ni yale ya kushona mtaani, ni mtu tuu kachukua likaniki lake huko kalikata kashona, limekaakaa tuu, linafunika mpaka macho, boda wanatamani waje ila hawaelewi wanaishia kupiga honi kwa mbali, nikaita mmoja nikapanda, japo hana amani, kufika stend wale ma Agent hakuna anayesogea, mmoja akaniambia bro si uweke hio pasi kwanza kwenye begi tuongee? Nikaitemea mate kdg, akasikia kama yana kaangwa sekunde yamekauka, kugeuka simuoni,

Kufika kwenye gari yangu, ma Agent waliniandikia siti ya nyuma kbsa, kuona vile wakaniambia bro kama umeamua kutukomoa umeweza, ngoja tukupe siti yako ya nyuma ya dereva uliyokua unaitaka,

Mana abiria hawanitaki sababu kumebanana, lakini pia naweza choma kochi zao n.k
Nimecheka sn mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Me juzi namsiaitiza konda aniiache kituo fulani kwa kuwa sikifahamu na nimeelekezwa hivyo akajibu sawa nisiwe na wasiwasi kwamza bado mbali sana, zimepita dk 20 namuuliza bado eti anasikitika.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…hatari
 
Back
Top Bottom